Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kwahio huu uliofanywa sio ukatili [emoji23][emoji23][emoji23] yaani US sijui wamewapa nini asee....Umeongea point ya maana sana! Watu wanaleta ushabiki as if wametumwa na serikali au wanatekeleza sheria! Ni wapuuzi hao askari na kitanzi watakula. Ingekuwa China na shitholes nyingine wala hata hizo habari zisinge-leak.
Bwana Utam na STRUGGLE MAN mnakumbuka yaliyotokea ubalozi wa Saudia binadamu kukatwakatwa vipande vya nyama? Kuna ukatili zaidi ya ule uliofanyika ndani ya afisi rasmi ya serikali?
Kwanza, hua haiwezekani kuendelea na mashtaka wakati mtu yupo kazini bado.Unaweza ukawa upo sahihi MKUU ila ishu nikwamba US haya matukio yapoyapo mnoo nahayajawahi kukoma
Je US wao kama wakiwa vinara wahaki zabina adamu kama wanavyojiita wanachukua hatua gani kali zakuzuia mambo kama haya
US haya matukio hua yakawaida sana ila yanafichwa sana sana sana kutokea kuyaona kama hivi nibahati nasibu tu...
Namaranyingi hata hizo hatua zinazochukuliwa hua zakimaonyeaho tu unahisi hapo jamaa kaua kwabahati mbaya ama kakusudia ?! Unahisi adhabu anayostahili mtu aloua makusudi ni kufutwa kazi ?!
US watuwanapiga sana kelele sababu tukio kama hili lingetokea katika taifa jengine especially UCHINA angeiaminisha DUNIA yakwamba yeye msafi ila CHINA kawaida shida ndio ina anzia hapa MKUU...
Unahisi kua nahawa watu ndio kunabadilisha mwenendo ama muelekeo wa namna yauendeshaji wanchi ?!Kwanza, hua haiwezekani kuendelea na mashtaka wakati mtu yupo kazini bado.
Hivyo kama ametolewa kazini hiyo inamaanisha mashtaka yanamngoja.
Pili, ni kweli hayo matukio yapo mengi lakini katika kila tukio kwa kila aliyehusika lazima tutasikia kilichofuatia baada ya hilo swala. South Africa wamekua na mashambulizi ya kibaguzi mara kwa mara, umewahi kusikia wangapi wamefikishwa mahakamani?
Askari walioua raia hapa Tz umesikia wangapi wamehukumiwa? Hapa namaanisha wale wameua in broad daylight.
Ni kweli hawa watu ni wabaguzi lakini kuna member humu aliwahi kusema katika mataifa yote makubwa ya nje taja taifa ambalo lina majenerali wa jeshi weusi au mawaziri au wawakilishi au Rais.
Ndoo maana Mimi naipenda Corona kwa kuwa inawanyosha hao wazungu,wabaguzi wakubwa,naomba MUNGU awaachie hiyo Corona hapo marekani iwe ya kudum Kama tulivyo dum na ukimwi
ushaleta ulumumbaHii ni moja kati ya nchi za hovyo sana duniani, halafj kuna wanaharakati wabongo wanataka hii ndio hiwe mfano kwetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwe wakweli.
US askari akishafanya hivi atashtakiwa, kisha kutokana na ushahidi uliopo na sheria zao atahukumiwa mfano kesi ya Rodney King.
Nchi za Afrika askari akiua tarajia atakingiwa kifua na hata mahakamani asifike.
So in Us hakuna aliye juu ya sheria (ingredient muhimu ya demokrasia) kwa bara letu ni kinyume chake. Hivyo ni sawa tu kusema wapo mbele kutuzidi kidemokrasia.
Acha ujinga wewe makosa ya wachache yasichafue wote, hao polisi nakuhakikishia watachukuliwa hatua za kisheria, ila bongo tungeambiwa mtuhumiwa kajinyonga akiwa selo
Umeongea point ya maana sana! Watu wanaleta ushabiki as if wametumwa na serikali au wanatekeleza sheria! Ni wapuuzi hao askari na kitanzi watakula. Ingekuwa China na shitholes nyingine wala hata hizo habari zisinge-leak.
Bwana Utam na STRUGGLE MAN mnakumbuka yaliyotokea ubalozi wa Saudia binadamu kukatwakatwa vipande vya nyama? Kuna ukatili zaidi ya ule uliofanyika ndani ya afisi rasmi ya serikali?
You guys have any idea what lynching is? Well, this is a modern day lynching.Acha ujinga wewe kwani hilo tukio limefanywa na Serikali ya Marekani? Unashindwa kutofautisha Jambo linalofanywa na Serikali ya Marekani na Jambo kufanywa na mmarekani.
Hilo Jambo limefanywa na Askari wa kimarekani na ameshafukuzwa kazi for further steps. Bongo mangapi yanafanywa na watu wapo kitaa.
Acha kulinganisha United States na takataka utakuwa kichwani hauko sawa.
Modern day lynching? Do you know lynching is a method of execution? Are you saying there is major project of executing black masses?You guys have any idea what lynching is? Well, this is a modern day lynching.
Polisi wa Marekani unawafahamu vizuri? Watakugeuzia kibano na kukubambikizia kesi.Kilichonisikitisha ni kuona wachukua video wako busy ku-shoot badala ya kutoa msaada kwa marehemu kabla hajafa (wakati anasrubiwa).
... umeambiwa hao wapuuzi watashitakiwa na adhabu wanayostahili watapatiwa tena kwa uwazi kabisa bila kificho. Hiyo ndio Marekani! Tuambie wauwaji wa Jamal Khashogi ndani ya ofisi ya serikali wako wapi? Nani aliyewatuma? Kafanywa nini?Kwahio huu uliofanywa sio ukatili [emoji23][emoji23][emoji23] yaani US sijui wamewapa nini asee....
kuua kutabakia kuua tu hatakama utatumia njia ipi.
You got that right, after lynching was outlawed, it became infiltrated by the police and I wanna be clear here, not all of them are on this, it's just a few but they have unions which protect them.Modern day lynching? Do you know lynching is a method of execution? Are you saying there is major project of executing black masses?
ulitaka wahukumiwe nanani Uturuki wakati hawaja wapata ?!... umeambiwa hao wapuuzi watashitakiwa na adhabu wanayostahili watapatiwa tena kwa uwazi kabisa bila kificho. Hiyo ndio Marekani! Tuambie wauwaji wa Jamal Khashogi ndani ya ofisi ya serikali wako wapi? Nani aliyewatuma? Kafanywa nini?
New video
Kuna yamkini walikuwa wanamjua au alishiriki ulinzi /ubaunsa na muuwaji wake (Derek Chauvin) waliajiriwa wote kwenye Club ya usikuposted on social media appears to show three Minneapolis Police Department officers kneeling on George Floyd during his arrest.
Previous video from eyewitness Darnella Frazier shows Floyd being kneeled on by one officer — Derek Chauvin. The new video, from a different angle, appears to show Chauvin and two other officers kneeling on Floyd.
"I can't breathe, man," Floyd says in the new video. "Please, let me stand. Please, man."
This new video appears to have been taken before the Frazier video.
CNN has reached out to the Minneapolis Police Department for comment, and to verify its authenticity, but has not received a response.
CNN has also reached out to Floyd family attorney Ben Crump about the video but has not yet received a response.
CNN has not been able to locate the person that took the video. NBC News has previously reported an 18 second portion of the video; CNN has obtained a minute long version of that video.