Uwazitu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 1,418
- 1,401
blast from the past
View attachment 1343915
blast from the past
View attachment 1343915
Kwa hiyo tunamuita nabii au
Banda ya hili tukio Bashite akapewa uDC, Kikwete alifeli sana hapa.blast from the past
View attachment 1343915
Leo hii zigo la mavi limemwangukia mnamwachia ahangaike nalo yeye mwenyewe sio?Huyo mi sina ushabiki naye hata wakimfungia maisha
Umeandika story ndefu ila ingekuwa fupi na yenye maana kama ungekumbuka kuwa Siasa zimepigwa stop hadi Uchaguzi 2020.Erythro, sisi tunaotazama toka nje, tunaona hii ni 'chachu' 'tu kazi yenyewe hasa bado.
Hii ni fursa nzuri sana, ya mahali pa kuanzia kwenda mbele.
Msipochukua tahadhari, hii inaweza ikageuzwa na mahasimu wenu na kuwa kiboko cha kuwatandikia nyinyi.
Kwa hiyo kunahitajiwa pawe na tahadhari kubwa isije ikaonekana nyinyi mnawategemea hao watu wengine wawafanyie kazi mnayotakiwa kuifanya nyinyi.
Ni lazima waTanzania waone mnafanya kazi kwelikweli, na sio kuwategemea hao watu wa nje. H
Hawa shirikianeni nao kwa tahadhari kubwa, hasa katika mambo ambayo nyinyi hamna uwezo nayo, kwa mfano uwepo wa tume huru kabla ya uchaguzi na wakati wa kupiga kura pawepo na utaratibu wa uwazi, ili kura zote zihesabike.
Haya mambo mengine yoote yanayotuhusu sisi wenyewe, fungeni mikanda muyafanye kwa ufanisi.
Kwa mfano: huku kijijini kwetu tunasikiasikia tu fununu zinazomhusu Makonda; lakini kiuhakika sio Makonda anayesemwa ndani ya ujumbe waliotoa Marekani.
Sisi wananchi huku kijijini hatujui lolote juu ya jambo hili. Sana sana tumesikia tu toka kwa Mwenyekiti wetu wa mtaa, ambaye ni ccm, anaeleza jinsi mabeberu waliokataliwa na Baba wa Taifa hili wanavyotafuta njia za kujipenyeza tena ili wanyone mali zetu za madini na utajiri mwingine.
Haya ndio tunayoyasikia, hatusikii chochote toka kwenu. Vipi?
Mfano wa pili. Kama kweli mnataka kushiriki kwenye uchaguzi unaofuata, wakati wa kuwaandaa wagombea ni sasa. Tafuteni watu wengi, kila jimbo liwe na mgombea na hao mnaowasimamisha wawe wameandaliwa barabara.
Hapa ndipo ninapokuwa na matumaini ya uwepo wa John Mnyika. Kazi yake itapimwa baada ya uchaguzi. Hii ni nafasi yake nzuri sana ya kujijengea sifa nzuri ya uongozi katika maisha yake.
Sihitaji kuchukua Kadi, ili mkipewa uongozi niwashikie bango ipasavyo.
Kweli kama ni ushabiki huu ni ujinga flan hivi. Badala ya kukitetea chama tunakiangamiza chama kirahisi tu. Yaani ni kama tunatia chumvi kwenye kidonda.Mwambie amrudishe kwanza msaidizi wake.
Wauaji wakubwa nyieView attachment 1343984
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunamwachia mimi na nan....siku hizi mtu akiisapoti serikali ameshakuwa kada wa ccm etiLeo hii zigo la mavi limemwangukia mnamwachia ahangaike nalo yeye mwenyewe sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gazeti la mwana halisi ni la serikali?Kweli kama ni ushabiki huu ni ujinga flan hivi. Badala ya kukitetea chama tunakiangamiza chama kirahisi tu. Yaani ni kama tunatia chumvi kwenye kidonda.
Fikiri kidogo; Chadema ni chama pinzani, hakuna mamlaka yoyote bali ni kelele tu. Halafu waue/wampoteze raia mtanzania. Hata angekuwa ni mpinzani mkuu halafu serekali inayoongoza nchi imwangalie tuu bila kumtafuta. Lawama ni kwa aliyepotelewa au ni kwa mwenye kilicho potea??
Huyo aliye potea ni mali ya serekali hiii sio wa chadema.
Acheni kuidhalilisha serekali ipo kazini na hata ikichukua muda gani kuna siku mtu atakamatwa tu
Kuna watu ashawakamata aisee.... Hamchomoki hamfurukuti kawashika vibaya mno.Masiya.... kwa sauti ya unyenyekevu
Nasema; Wewe unayeshabikia ujinga ka huu nawe ni mjinga tu unaiaibisha serekali yako tukufu. Full stop
Kuna watu ashawakamata aisee.... Hamchomoki hamfurukuti kawashika vibaya mno.
Wakisema wenye akili timamu pita mbele na wewe utapita.... Wewe ambaye mtu wa hai ni masiya wakoKambi ya Makonda, huu uzi sio saizi yako
Wenye akili timamu tu, ndio wanaelewa uzi huu.
Wakisema wenye akili timamu pita mbele na wewe utapita.... Wewe ambaye mtu wa hai ni masiya wako
Hili jambo kikwete litamdhalilisha maisha yoteBanda ya hili tukio Bashite akapewa uDC, Kikwete alifeli sana hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila ulichokisema hapa kimefanyiwa kazi barabara , tumemwacha Lissu nje kimkakati , ukiangalia vizuri haya yanayotokea utanielewa vizuri .Erythro, sisi tunaotazama toka nje, tunaona hii ni 'chachu' 'tu kazi yenyewe hasa bado.