Video: Shujaa Mbowe alionya lakini akapuuzwa

Video: Shujaa Mbowe alionya lakini akapuuzwa

Aliwaambia ccm mnalikoroga, nini kimetokea? Utabiliri umetimea

Mpigie makonda muende mkajisafishe na kilichoelezwa na Usa wauwaji nyinyi
Aliyekwambia kila anayeisapoti serikali ni ccm au kila anyeiponda ni cdm ndiye aliyekupoteza...kiufupi hujitambui
 
Aliyekwambia kila anayeisapoti serikali ni ccm au kila anyeiponda ni cdm ndiye aliyekupoteza...kiufupi hujitambui
Anayeisapoti serikali hii kama siyo ccm njaa kali basi ni lazima atukakuwa mchawi
 
Elitwege ni BASHITE humu JF, unaonekana unavyoangaika kujitoa na tuhuma zinazokukabili.
Malipo ni hapa hapa. Jizungushe tu ila utanasa mwishoe.
 
Umeandika story ndefu ila ingekuwa fupi na yenye maana kama ungekumbuka kuwa Siasa zimepigwa stop hadi Uchaguzi 2020.

Una hoja ila next time umiza akili.
Mkuu, sina uwezo wa "kuumiza akili" kama ulivyofanya wewe hapa!
 
kesho nawasilisha barua Makao Makuu saa 5 kamili asubuhi ya kutia nia ya kumuondoa Mwakyembe jimbo la Kyela
Isingekuwa kijaruba changu hiki hapa bondeni kuhitaji uangalizi wangu, hiyo kesho nigekuwepo kuunga mkono hatua yako hiyo.

Lakini maadam nimepata taarifa, nitafuatilia kwa makini, hadi 'doctor' ang'oke.
 
Anayeisapoti serikali hii kama siyo ccm njaa kali basi ni lazima atukakuwa mchawi
Tuliza hasira na mihemko ww bingo wengine hatupo kwenye hayo mavyama yenu ya siasa...Pazuri tutasapoti pabaya tutapinga
 
Back
Top Bottom