Video: Shujaa Mbowe alionya lakini akapuuzwa

Umeandika story ndefu ila ingekuwa fupi na yenye maana kama ungekumbuka kuwa Siasa zimepigwa stop hadi Uchaguzi 2020.

Una hoja ila next time umiza akili.
 
Ingia You tube" Mbowe Professor wa siasa" utamjua tena aliye mkubali ni Dkt Mollel
 
Mwambie amrudishe kwanza msaidizi wake.

Wauaji wakubwa nyieView attachment 1343984

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kama ni ushabiki huu ni ujinga flan hivi. Badala ya kukitetea chama tunakiangamiza chama kirahisi tu. Yaani ni kama tunatia chumvi kwenye kidonda.
Fikiri kidogo; Chadema ni chama pinzani, hakuna mamlaka yoyote bali ni kelele tu. Halafu waue/wampoteze raia mtanzania. Hata angekuwa ni mpinzani mkuu halafu serekali inayoongoza nchi imwangalie tuu bila kumtafuta. Lawama ni kwa aliyepotelewa au ni kwa mwenye kilicho potea??
Huyo aliye potea ni mali ya serekali hiii sio wa chadema.
Acheni kuidhalilisha serekali ipo kazini na hata ikichukua muda gani kuna siku mtu atakamatwa tu
 
Watz wengi hata walopita shule wanaufinyu wa kufikiri katika kukabili maisha halisi, sana ni kukariri walichoambiwa hata kama hakina uhalisia kwenye 'real life' na kufanikiwa kwa wengi ni bahati au urithi.
Utalikuta jitu linamadeni kupitiliza,chakula shida,nguo matatizo,alipopanga hajalipa na anatishiwa kufukuzwa kilaleo,watoto hawanakazi wanavuta bange kutwa LAKINI anaisifu CCM na serikali mpaka mate kumruka na oktoba linapanga mstari masaa kumchagua raisi aliyempitisha kwenye shida na wabunge wanaomtetea mtesi wao!! Ujinga huu nikama laana vile mijitu inarudia kosa lilelile na kutaka matokeo tofauti,wanaogopa mabadiliko kuliko hata ukimwi... Sijui kizazi gani kitaishinda hii dhambi ya woga!!
 
Gazeti la mwana halisi ni la serikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kambi ya Makonda, huu uzi sio saizi yako

Wenye akili timamu tu, ndio wanaelewa uzi huu.
Wakisema wenye akili timamu pita mbele na wewe utapita.... Wewe ambaye mtu wa hai ni masiya wako
 
Wakisema wenye akili timamu pita mbele na wewe utapita.... Wewe ambaye mtu wa hai ni masiya wako

Aliwaambia ccm mnalikoroga, nini kimetokea? Utabiliri umetimea

Mpigie makonda muende mkajisafishe na kilichoelezwa na Usa wauwaji nyinyi
 
Kila ulichokisema hapa kimefanyiwa kazi barabara , tumemwacha Lissu nje kimkakati , ukiangalia vizuri haya yanayotokea utanielewa vizuri .

Kuhusu wagombea wa ubunge na udiwani nchi nzima , tayari Katibu Mkuu kishatoa maelekezo ya watia nia kuandika barua za maombi ya kutia nia , barua zinamiminika kama mvua , kesho nawasilisha barua Makao Makuu saa 5 kamili asubuhi ya kutia nia ya kumuondoa Mwakyembe jimbo la Kyela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…