Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,156
Aliyekwambia kila anayeisapoti serikali ni ccm au kila anyeiponda ni cdm ndiye aliyekupoteza...kiufupi hujitambuiAliwaambia ccm mnalikoroga, nini kimetokea? Utabiliri umetimea
Mpigie makonda muende mkajisafishe na kilichoelezwa na Usa wauwaji nyinyi
Anayeisapoti serikali hii kama siyo ccm njaa kali basi ni lazima atukakuwa mchawiAliyekwambia kila anayeisapoti serikali ni ccm au kila anyeiponda ni cdm ndiye aliyekupoteza...kiufupi hujitambui
Mkuu, sina uwezo wa "kuumiza akili" kama ulivyofanya wewe hapa!Umeandika story ndefu ila ingekuwa fupi na yenye maana kama ungekumbuka kuwa Siasa zimepigwa stop hadi Uchaguzi 2020.
Una hoja ila next time umiza akili.
Isingekuwa kijaruba changu hiki hapa bondeni kuhitaji uangalizi wangu, hiyo kesho nigekuwepo kuunga mkono hatua yako hiyo.kesho nawasilisha barua Makao Makuu saa 5 kamili asubuhi ya kutia nia ya kumuondoa Mwakyembe jimbo la Kyela
Tuliza hasira na mihemko ww bingo wengine hatupo kwenye hayo mavyama yenu ya siasa...Pazuri tutasapoti pabaya tutapingaAnayeisapoti serikali hii kama siyo ccm njaa kali basi ni lazima atukakuwa mchawi