Video: Si rahisi "dictatorship regime" yoyote kuruhusu watu kama hawa waishi katika nchi wanazoongoza

Video: Si rahisi "dictatorship regime" yoyote kuruhusu watu kama hawa waishi katika nchi wanazoongoza

Niandikaje ili niipate huko mtandaoni niidownload?
Fungua YouTube app. Andika: Tundu atoa mwongozo matata sana bungeni, mawaziri wapoteana...

Hapa hapa, hold video kisha zitakuja options kadhaa. Chagua "download" na video itaji - download yenyewe..
 
Madikteta hawapendi watu timamu wanaohoji vitu nyeti !

Ndio maana ukianza kuona vyombo vya habari vinadhibitiwa ujue ni dalili za udikteta !madikteta na vyombo vya habari hawapatani bunge


Bunge likazimwa eti watu wafanye kazi ila dikteta akitaka kupita masaa 4 watu wanapangishwa foleni hadi apite!
Facts.. Hatari sana..
 
Back
Top Bottom