Madikteta hawapendi watu timamu wanaohoji vitu nyeti !
Ndio maana ukianza kuona vyombo vya habari vinadhibitiwa ujue ni dalili za udikteta !madikteta na vyombo vya habari hawapatani bunge
Bunge likazimwa eti watu wafanye kazi ila dikteta akitaka kupita masaa 4 watu wanapangishwa foleni hadi apite!