VIDEO: Siri ya Migomo Kenya kisa ni wivu wa maisha mazuri ya Watanzania

Mzee Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2024
Posts
219
Reaction score
279
Kisa Cha migogoro isiyokwisha nchini Kenya ni wivu wa Maisha mazuri kwa Watanzania.

Miongoni mwasababu za GEN Z kuandamana mpaka kupigwa risasi ni kutaka maisha ya Kenya yafanane na maisha ya Watanzania,

Je, sisi Tanzania tunajua haya?

Sikiliza huyu Mkenya akitoa Siri,

#Mama Samia Mitano tena
Your browser is not able to display this video.
 
Maisha mazuri ya watanzania????...

Watanzania gani hao unawazungumzia mkuu, mbona mimi ni mtanzania na sina maisha mazuri
Wewe ni mvivu, mzembe unadhani Serikali itakuingizia hela mfukoni. Shughulika fursa zipo, ardhi ya Tanzania yenye rutuba (arable) inayolimwa ni chini ya 15%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…