VIDEO: Siri ya Migomo Kenya kisa ni wivu wa maisha mazuri ya Watanzania

VIDEO: Siri ya Migomo Kenya kisa ni wivu wa maisha mazuri ya Watanzania

Kwa mimi ninavyo ona chanzo cha hizi fujo Kenya sio mapendekezo y bajeti yaliyopitishwa ,bali kuna wanasiasa wana chochoea kwa makusudi hizi fujo ili kumpa kashi kashi za kisiasa Ruto na badae Ruto awaitwe hao viongozi ikulu kwa akili ya maridhiano ya kitaifa ili nao wawe wanakunywa chai ya ikulu.
 
Wewe ni mvivu, mzembe unadhani Serikali itakuingizia hela mfukoni. Shughulika fursa zipo, ardhi ya Tanzania yenye rutuba (arable) inayolimwa ni chini ya 15%.
Unavyoongea hivi utadhani ukoo wako wote wana nafuu pamoja na wewe kumbe ni Kiki za kwenye mitandao hizi huku ukiwa unakaangalia kapasso kako kama katafika Mjini..Tanzania inatambulika kama Nchi masikini ina maana Watanzania wote ni wavivu ila wewe pekee sio mvivu?
 
Huyo mropokaji ningekuwa karibu ningemzaba makofi kabisa.Nchi ilivyoharibiwa hivi na mama na Bado Kuna punguani anasifa kuwa tz ni pazuri?
 
Back
Top Bottom