Video: Spika Mstaafu, Tulia ajichanganya; amtaja Polepole Badala Ya MC Pilipili Je, Hii ina maana Gani?

Video: Spika Mstaafu, Tulia ajichanganya; amtaja Polepole Badala Ya MC Pilipili Je, Hii ina maana Gani?

Mkuu niliongea hili mapema huyu mama ana kitu rohoni hakuna Cha teuzi Wala nini, Kuna mambo hayakumfurahisha ni yapi hayo? Muda ni hakimu mzuri
Hana kitu huyo, asingechukua form. Mtandao wameona wamemtumikisha vya kutosha, wamemtema kama walivyomtema Ndugai, Kassim ni zam yake kutemwa.

Ataendelea kujutia hadi siku anaingia kaburini
 
Naichukulia kama a normal slip of the tongue! Yale majina yanakaribiana sana. Kama unawajua wote wawili, ni rahisi kujikuta umemtaja Polepole badala ya Pilipili.
🤣🤣🤣Eti normal?? Hayo majina anayakosea yeye tu?, hili jambo huwa ni kawaida kutamka neno ambalo liko akilini na wala haihusiani na mfanano wa majina, ndiomaana hata unapomsemesha mtu aliye katika tafakari nzito, lazima alopoke alichokuwa akikiwaza au aharibu umakinifu wa mazungumzo yenu.

Hili jambo litawatesa sana CCM hasa ktk kipindi hiki cha kizazi cha internet kilichoshindikana, hakihofii tena vitisho vya wakuu wa kidini wala hofu za kijinga.

Tuendako kuna watu wataharibu sana, tena sana, tena sana.
 
"Sisiem oyee" "wanasisiem wenzangu".... Con Architect Mbowe..... Watu aaah pombe aaah kawaida ila baada ya muda Kila kitu kikawa wazi...... SUBCONSCIOUS inamsaliti mtu huku the lying Mind iko pale.
 
Naichukulia kama a normal slip of the tongue! Yale majina yanakaribiana sana. Kama unawajua wote wawili, ni rahisi kujikuta umemtaja Polepole badala ya Pilipili au Pilipili badala ya Polepole.
Kuna mtu alimuita Samia, Samua kama sikosei, basi ikawa gumzo mjini. wabongo waitafutia maana tu yani. Ili mradi wapate faraja.

Namuomba Mungu atusaidie sana maana tuna shida nyingi kuliko tunavyofikiri
 
Naichukulia kama a normal slip of the tongue! Yale majina yanakaribiana sana. Kama unawajua wote wawili, ni rahisi kujikuta umemtaja Polepole badala ya Pilipili au Pilipili badala ya Polepole.
Upuuzi wamepanda wangapi apo juu kwanini hawajakosea akosee yeye Mungu fundi sana urukr kuna pa pe pi po pu kwanini ulim usip kwa po na palapala au pululupulu
 
Back
Top Bottom