VIDEO: Steve Nyerere acha kuiga iga

VIDEO: Steve Nyerere acha kuiga iga

ila yule mama wa Mrembo wa Tanzania miaka zaidi 10 iliyopita KIBOKO ya huyu jamaa.
** Halafu haka kajamaa kanajua kubabia babia shughuli za kitaifa, utakakuta kwenye function nyingi zenye kadmanasi na uwepo wa VIP's mfano misiba (msiba wa Sir. Ka-Hama, uzinduzi wa Fly-overs, madaraja n.k.)
NB: Steve rudi shule ELIMU bure sasa huna kisingizio.
 
Comedy huiwezi labda kucheza ngoma za kienyeji
 
hivi sifa za comedian lazima uwe MFUPI wa kimo?

Watu wafupi hawajiamini,Viungo vyao pia huwa vifupi kwahiyo lazma wafanye kitu waonekane wapo:

Kwahiyo kuhanzia mahusiano huwa wana vibamia,kwahiyo huwa wanatembea na wanafunzi ili kuficha aibu ya vibamia vyao.

Pia
 
wanadai WAFUPI kama walivyo WAZEE wanajua kulea. Sasa binti akimpata babu/mzee mfupi ataenjoy sana
 
Hivi unapata faida gani kumharibia mwenzio sehemu ama mahali anapopatia ridhki na kumuona akitaabika....!!?

Unapataje furaha kumuona mwenzako na familia yake wakiteseka kwa sababu yako...!!?

Haya mambo ndio yamejaa hata huko maofisini...watu hawafanyi kazi bali ni kupigana majungu tu......

Dah!!....
Watanzania ni viumbe wa ajabu sana....
 
Watu wafupi hawajiamini,Viungo vyao pia huwa vifupi kwahiyo lazma wafanye kitu waonekane wapo:

Kwahiyo kuhanzia mahusiano huwa wana vibamia,kwahiyo huwa wanatembea na wanafunzi ili kuficha aibu ya vibamia vyao.

Pia

Ndugu yangu mbona unaandika kana kwamba wewe ulimhonga muumba na kuumbwa hivyo ulivyoumbwa......!!?

Asiyeumba haumbui....

Hujafa hujaumbika.....

Usimseme mtu kwa maumbile yake kwani badala yake humkosoi yeye bali unakosoa kazi ya Mungu.....ambako ni kukufuru.....

Muumba aliyekupa mikono na miguu mirefu anayeweza siku moja akavichukua vyote kwa mpigo......

Tuwe makini kile tunachokinena.....
 
Sifa kuu ya kuwadi siku ukikosa demu uliyetumwa unabanduliwa wewe
 
Back
Top Bottom