VIDEO: Steve Nyerere amjibu Muna, afunguka A-Z ilivyokuwa

Peter kimungu, casto Dickson, na Joel lwanga
 
waliomchangia huyu dada kipindi cha shida wanapaswa kuona aibu kwa sasa
 
Ndiyo huyo Muna anaesumbua watu!!!. konseksheni zetu wanaume sometimes sijui huwa zikoje!!!?
 
Mwenyekiti wa misiba Tanzania, Mwambieni bado tunakumbuka alivyorekodiwa na mama Wema
 
Huyo Stive Nyerere bila misiba hawezi kuishi mjini
Brother with all due respect usilishwe sumu za kitoto, wengi hawamjui Steve hata mimi binafsi nakiri sikumjuwa hapo kabla lakini kwa sasa namjuwa kiasi huyu jamaa, kwa kifupi Steve an potential kubwa na connection ndefu kuliko wengi mnavyoaminishwa kutokana na chuki binafsi za mitandaoni.

Steve ni bonge la mjanja hapa town na ana connection ndefu trust my words. Kila mtu anayejitambuwa angependa kuwa na connection kama za huyu chalii.

Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe, wanaompiga madongo ukiwatathmini tu hata kwenye familia zao hawaamini kwa jambo lolote kulisimamia au kukabidhiwa millioni moja tu wasimamie jambo fulani.

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Steve anaingia ofisini kwa mama Samia kama wewe unavyokwenda sokoni au chooni tu, weka hili akilini mwako kabla hujalishwa ujinga na wana Darisalama wenzangu.
 
Kusafirisha mgonjwa kwa ndege ni hatari sana ,,kutumia gari ndo salama zaidi-BY DAKTARI WA MUNA
 
Brother with all due respect usilishwe sumu za kitoto, wengi hawamjui Steve hata mimi binafsi nakiri sikumjuwa hapo kabla lakini kwa sasa namjuwa kiasi huyu jamaa, kwa kifupi Steve an potential kubwa na connection ndefu kuliko wengi mnavyoaminishwa kutokana na chuki binafsi za mitandaoni.

Steve ni bonge la mjanja hapa town na ana connection ndefu trust my words. Kila mtu anayejitambuwa angependa kuwa na connection kama za huyu chalii.

Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe, wanaompiga madongo ukiwatathmini tu hata kwenye familia zao hawaamini kwa jambo lolote kulisimamia au kukabidhiwa millioni moja tu wasimamie jambo fulani.

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Steve anaingia ofisini kwa mama Samia kama wewe unavyokwenda sokoni au chooni tu, weka hili akilini mwako kabla hujalishwa ujinga na wana Darisalama wenzangu.
Naaam nikweli " kuhusu suala la connection Hakuna msanii anayeufikia uwezo WA steve hapa tz" hata marehemu kanumba mwenyewe" alikuwa anasanda
 
Back
Top Bottom