VIDEO:Stori ni kuwa eti michelle obama ni mwanaume🤯

VIDEO:Stori ni kuwa eti michelle obama ni mwanaume🤯

Ndio maana watu weusi waafrika hawapati maendeleo.

Kutwa kucha kufatilia mambo ya watu.

Huyo Michelle Obama wala hakujui. Hata akiwa mwanaume wala haikusaidii chochote.

Baraka Obama karidhika na mke wake.

Wewe Maskini Choka Mbaya unahangaika na mahusiano ya watu.

Barack Obama ashaacha legacy kubwa ya kuwa Raisi wa Marekani.

Wewe hujawahi kuwa hata class monitor darasani.

Uko hapa kupiga pang'ang'a na maisha ya watu.

Mitanzania inayoishi Madongo Kuinama inahangaika na mapenzi ya watu.
 
Back
Top Bottom