Uchaguzi 2020 Video: Sugu aapisha umati wa wananchi wa Kata ya Nsalanga kulinda kura, aahidiwa ulinzi uliotukuka

Umesahau kile kituo kilivamiwa kwa sababu hakipo kisheri lakini ccm mwaka huu wamekizindua
 
Nami nimetembea Moshi na Arusha sana, Iringa na Mbeya. Ni mikoa ya upinzani na maendeleo ni makubwa mno kuliko kwenye ngome za chama chetu. Mfano Moshi nilikuta bado wana utamaduni wa kufanya kazi za umoja za maendeleo kila Jumatatu fulani ya Mwezi. Utakuta wanarekebisha miundombinu ya barabara za vijiji n.k
 
Mbunge Wa CDM Mbeya Mjini ndio mbunge mzigo bora hata Bwege
 
Huyo mama tulimshauri lakini hakutaka kutusikia .
 
Raisi wangu wa Mbeya yupo fiti, Namuonea huruma yule mdada maana kachafua jiji kwa matangazo yake
 

Maendeleo ya uhakika?? Nchi hii iko nyuma kwa sababu maeneo mengi hayajaendelezwa. Na CCM ndio wawakilishi wa maendeleo hayo!! CCM chukueni maeneo ya vijijini na mpeleke upendeleo huko. Mijini wana mahitaji tofauti.

Kwa upendeleo mnaosema mtafanya, ni nafasi ya kuendeleza Chemba, Kilolo, Mpunze nk. Waacheni watu wa mijini!!
 
Huyu ndiye Rais wa Mbeya. Kila mtu atawale eneo lake... Kuna mtu anapaswa abakie Chato tu. Maana hata mji jirani wa Katoro wanamtaka Lisu.
Mbona buseresere alikutana na mabango hapo hamsemi?
 
Riziki ya mtu ipo kwa mtu. Wakikosekana wajinga kwenye jamii wale wenye akili hawatakuwa na wa kuzitambua na kuziheshimu akili zao.
 
Mbona buseresere alikutana na mabango hapo hamsemi?
Mabango yaliwndaliwa na mamluki wa Polepole. Kule Kagera na Busanda ndiyo ilikuwa original wananchi hawamtaki jiwe
 
Mabango yaliwndaliwa na mamluki wa Polepole. Kule Kagera na Busanda ndiyo ilikuwa original wananchi hawamtaki jiwe
Utashangaa siku ya 28 jiwe atakavyopasua ndo hutaamini hayo maeneo kuwa ulipofuka kuona na kusikia.
 
Utashangaa siku ya 28 jiwe atakavyopasua ndo hutaamini hayo maeneo kuwa ulipofuka kuona na kusikia.
Unajua unaongea na nani? Ninajua nachokiongea mm. Sifurahishi genge hapa. Facts and figures never lie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…