Umesahau kile kituo kilivamiwa kwa sababu hakipo kisheri lakini ccm mwaka huu wamekizinduaMkuu kwanini chadema huwa wasahaulifu hivi? 2015 Lowassa alikuja na mwizi maarufu wa kura kutoka CCM jina lake Chizi kwa ajili ya kupambana na mbinu za wizi na bado kura za UKAWA "zikaibiwa". Kuwaambia wapiga kura wako kuwa kura "zitaibiwa" ubongo wa mwanadamu unatafsiri kama "usipige kura maana zitaibiwa"
Tumieni watu waliosoma saikolojia kama CCM na sio wale Hip Hop tu!