Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Nimekutana na interview hii ya Tundu Lissu BBC akiongelewa tukio lake la kupigwa risasi.
Kitu interesting kuhusu hii interview ni namna ambavyo Masilingi alishindwa kupambana na hoja za Tundu Lissu.
Masilingi alikuwa mpole kama piritoni kwenye hii interview baada ya kupigwa spana za kutosha na Lissu.
Nilichojifunza, Lissu sio wa kubishana nae haswa mkiwa kwenye hadhara. Naanza kuelewa kwanini Mbowe alikwepa mdahalo na Lissu wakati wanapambana kupata nafasi ya Uenyekiti CHADEMA
Nje ya mada:
Siku hizi huyu baba Masilingi yuko wapi? Au kaachana na mambo ya siasa na diplomasia?