Hivi ndo inapaswa kuwa.... Mtu anapotishia kujamba na wakati ana tumbo la kuharisha unamletea poti akalie.
Your browser is not able to display this video.
Nimependa wote wawili walichokifanya kwa uhalisia wake. Madogo acheni kuja na nyuzi za kijinga kulia lia hapa kwamba umeachwa. Kwani mama yako huyo? Kafanye mambo mengine kama mapenzi yanakuumiza.