Ricecooker
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 500
- 904
Akijua wazi wapu hawezi shinda?? Nani amekuambia hawezi?Kwangu mimi naona Raila kama mtu asiye mstaarabu na analazimisha kuvuruga uchaguzi huru ili Uhuru asitangazwe mshindi. Akijua wazi hawezi kushinda kwa kura huru.
Lawama nazitupa zaidi kwa mahakama kwa kutumika ku nullify uchaguzi uliokuwa huru kwa kiasi kikubwa.
Sioni namna yeyote uchaguzi mwingine unaweza kufanyika na kufikia viwango vya uchaguzi uliofutwa. Kina Raila wataendelea kuonga /kununua individuals katika taasisi kama IEBC ili ku frustrate taratibu za kisheria na kikanuni.
Raila withdrawal means there will be no election
If Even one Polling station doesnt vote elections will be nullified by the supreme court
Raila has called for a mother of all demos on 26th october countrywide
Now jubilee is moving police officers to nyanza and western kenya to block those demos
Haturudi KANU KAMWE
UHURU will never be my leader .
Not my president past 26th
Unless there is a free and fair process
Video:
kama utapiga kura hiyo n haki yko,wengine watapiga n maisha itaendelea.Raila withdrawal means there will be no election
If Even one Polling station doesnt vote elections will be nullified by the supreme court
Raila has called for a mother of all demos on 26th october countrywide
Now jubilee is moving police officers to nyanza and western kenya to block those demos
Haturudi KANU KAMWE
UHURU will never be my leader .
Not my president past 26th
Unless there is a free and fair process
Video:
Raila withdrawal means there will be no election
If Even one Polling station doesnt vote elections will be nullified by the supreme court
Raila has called for a mother of all demos on 26th october countrywide
Now jubilee is moving police officers to nyanza and western kenya to block those demos
Haturudi KANU KAMWE
UHURU will never be my leader .
Not my president past 26th
Unless there is a free and fair process
Video:
Akijua wazi wapu hawezi shinda?? Nani amekuambia hawezi?
You are the people who ruin this country.It cannot be that if one man says he won't take part in an election then the whole country and a whole exercise grinds to a halt.A COUNTRY IS BIGGER THAN ONE MAN ...least of all a man with a biased ,self interested outlook on a nation's destiny.Raila withdrawal means there will be no election
If Even one Polling station doesnt vote elections will be nullified by the supreme court
Raila has called for a mother of all demos on 26th october countrywide
Now jubilee is moving police officers to nyanza and western kenya to block those demos
Haturudi KANU KAMWE
UHURU will never be my leader .
Not my president past 26th
Unless there is a free and fair process
Video:
Facts please, demographics are important for a good reference supporting Raila's win.Akijua wazi wapu hawezi shinda?? Nani amekuambia hawezi?
Hapana MK254. Sidhani upinzani wa JF ufike huko kufurahia maanguko ya Kenya. Usikate tamaa hivyo. Jipe moyo hayo yatapita muombe Mungu sana.
Mnaongea nikama sio nyinyi mumekuwa mkinyima wajaluo na wasomali IDsFacts please, demographics are important for a good reference supporting Raila's win.
Damn shit 13m luhyas,9mluos where is the source my friend?wat abt kikuyus and are majourity in kenya,kales merus and not all tribe of kisii is supporting Nasa.Plus northestern 3 quarter is jubileeMnaongea nikama sio nyinyi mumekuwa mkinyima wajaluo na wasomali IDs
Sio nyinyi mumekuwa mkitumia ma chief kununua IDs za watu maskini malindi na western!!...aargh!!!
Population growth western Kenya is double Central
There are 13mn Luhyas
There are 9mn Luos
6mn kisiis
About 1.2mn masais
Hatujaenda wamijikenda, wakamba, wataita ambao wana occupy eastern na coast provinces !!!....central juzi tumeona chokora underage na IDs what are you saying demography..when news has it that population is declining in central
Great thinker can't talk like that...Dah! Hii hatari kwa kweli, haya Kenya kinaelekea kuiva, njooni wale huwa mnashabikia na kuomba Kenya ianguke, fursa yenu ya kupata raha ndio hii hapa.
kosa nadhan sio la uhuru na jubilee yake bali ni wale ambao hawataki kwenda mahakamani kuipinga iebc........Nampenda uhuru....ila huu upumbagu anao ufanya sikubaliani nae....kama anajua atashinda figisu na jubilee yake ni ya nini. Just allow free and fair election uhuru, otherwise you are stupid like other african leaders.!!!!
We are not talking about population... Just go through the registered voters... The fact is Uhuru starts with a basket of 7m from his strongholds. He only needs around 30% from maasai land,kisii,coast,north eastern etc.Raila stands no chance to beat Uhuru it's not rocket science and NASA know that that's why we are being treated to a political circus to prevent the elections from happening, in their minds we will have a constitutional crisisMnaongea nikama sio nyinyi mumekuwa mkinyima wajaluo na wasomali IDs
Sio nyinyi mumekuwa mkitumia ma chief kununua IDs za watu maskini malindi na western!!...aargh!!!
Population growth western Kenya is double Central
There are 13mn Luhyas
There are 9mn Luos
6mn kisiis
About 1.2mn masais
Hatujaenda wamijikenda, wakamba, wataita ambao wana occupy eastern na coast provinces !!!....central juzi tumeona chokora underage na IDs what are you saying demography..when news has it that population is declining in central
Facts please, demographics are important for a good reference supporting Raila's win.
Wataenda mahakamani on what basis na supreme court yenyewe ilisema haijampata mfanyikazi yeyote wa iebc na makosa....siasa za NASA wanazijua wenyeweMK254 na Sammuel999 naomba mnisaidie ni nini hasa kimewazuia NASA wasiende mahakamani kuizuia iebc isiandae uchaguzi???..........
kwann hizo reforms waliitumie mahakama kulazimisha tume itii? kwann maandamano? hakuna option nyingine zaid ya kuandamana??? hawana imani na mahakama tena??.... hebu wakenya tusaidieni