Video: Thousands of Police being Transported to Nyanza Kericho Kisumu highway

Video: Thousands of Police being Transported to Nyanza Kericho Kisumu highway

Mara nyingi huwa nakupuuza maana huwa haupo tayari kujadili mada yoyote, huwa unarusha majibu bila kutumia akili au walau kujaribu kutafakari na kudhihirisha uwezo wako wa kufikiria ipasavyo. Ukiokoteza maneno maneno ya kwenye blogs za chuki huko nje huwa unaziweka humu bila mwenyewe kuongeza uwezo wako wa kufikiri.

Inafaa ikuingie hamna jinsi kabila moja au mbili zinaweza kuongoza Kenya, kwa mujibu wa katiba mpya lazima ushinde kwa kushawishi nchi kwa mapana na marefu. Leo hii chama cha rais Uhuru kinaongoza kwa idadi ya wabunge, maseneta, magavana, na hata MCAs ambao zamani waliitwa madiwani.

Ili ushinde kwenye nyathifa zote hizo lazima upate uungwaji mkono maeneo mengi sana ya nchi, makabila mengi lazima yakubaliane na sera zako. Hii hapa orodha ya baadhi ya Gatuzi alizonyakua rais Uhuru nje ya mkoa wa kati GARISSA,MANDERA,WAJIR kwa Wasomali, KAJIADO, NAROK kwa Wamaasai, Pwani pia amenyakua KWALE, LAMU na pia usisahau NAIROBI amefunika, orodha ni ndefu.

Hii ramani hapa chini labda itapanua uelewa wako ili uwache kulishwa chuki za blogs

DG9vf_jXoAA3ORG.jpg

Wewe endelea kujifariji na hayo mapishi ya IEBC, mbegu ya ukabila mliyopanda haitaacha kuwatafuna.
 
Dah! Hii hatari kwa kweli, haya Kenya kinaelekea kuiva, njooni wale huwa mnashabikia na kuomba Kenya ianguke, fursa yenu ya kupata raha ndio hii hapa.
Ikianguka kenya tutakuja kuokota magari na tv? Kama kuna mgodi wa dhahabu sawa tutakuja kupiga ukwale.
 
Nampenda uhuru....ila huu upumbagu anao ufanya sikubaliani nae....kama anajua atashinda figisu na jubilee yake ni ya nini. Just allow free and fair election uhuru, otherwise you are stupid like other african leaders.!!!!
Amefanya figisu gani?
 
Raila withdrawal means there will be no election

If Even one Polling station doesnt vote elections will be nullified by the supreme court

Raila has called for a mother of all demos on 26th october countrywide

Now jubilee is moving police officers to nyanza and western kenya to block those demos

Haturudi KANU KAMWE

UHURU will never be my leader .

Not my president past 26th

Unless there is a free and fair process

Video:

Which road heading to Kisumu, or western has 6 lanes?
Wasn't it shujaa day yesterday where armed forces does parades?
 
Dah! Hii hatari kwa kweli, haya Kenya kinaelekea kuiva, njooni wale huwa mnashabikia na kuomba Kenya ianguke, fursa yenu ya kupata raha ndio hii hapa.
Mkuu achilia mbali udugu, hatuwezi kufurahia hata kidogo nyie kushika mapanga na kuchinjana in an uncivilized way. Kwanza suala la wakimbizi litatuathiri sana. Niamini, hata sasa hivi kuna wakenya wengi sana wanaoishi Arusha na Kilimanjaro, side to side na watanzania bila kubaguliwa.
 
Raila withdrawal means there will be no election

If Even one Polling station doesnt vote elections will be nullified by the supreme court

Raila has called for a mother of all demos on 26th october countrywide

Now jubilee is moving police officers to nyanza and western kenya to block those demos

Haturudi KANU KAMWE

UHURU will never be my leader .

Not my president past 26th

Unless there is a free and fair process

Video:

Jaluo Bwana tabu tupu. kazi kupenda misifa na wanawake. Uongozi hamuwezi !
 
Jaluo Bwana tabu tupu. kazi kupenda misifa na wanawake. Uongozi hamuwezi !
Am not Jaluo....am not even Nilote

Not all kenyans are tribalist!!

Some of us actually support someone because of their Agenda

All 42/45 tribes of Kenya support someone because of their Agenda ispokua

Jaluos
Kikuyus
And Kalenjins

Even Kambas are in between parties !!!.
Not everyone is tribal...only 3 tribes will fight if it comes to it in the next elections not all Kenyans idiot

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Mnaongea nikama sio nyinyi mumekuwa mkinyima wajaluo na wasomali IDs

Sio nyinyi mumekuwa mkitumia ma chief kununua IDs za watu maskini malindi na western!!...aargh!!!

Population growth western Kenya is double Central

There are 13mn Luhyas
There are 9mn Luos
6mn kisiis
About 1.2mn masais
Hatujaenda wamijikenda, wakamba, wataita ambao wana occupy eastern na coast provinces !!!....central juzi tumeona chokora underage na IDs what are you saying demography..when news has it that population is declining in central
So wewe ndio hufanya census? and what is the population of other tribes?
 
Am not Jaluo....am not even Nilote

Not all kenyans are tribalist!!

Some of us actually support someone because of their Agenda

All 42/45 tribes of Kenya support someone because of their Agenda ispokua

Jaluos
Kikuyus
And Kalenjins

Even Kambas are in between parties !!!.
Not everyone is tribal...only 3 tribes will fight if it comes to it in the next elections not all Kenyans idiot

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Embus? Merus? I thought they were pro Jubilee
 
Wewe endelea kujifariji na hayo mapishi ya IEBC, mbegu ya ukabila mliyopanda haitaacha kuwatafuna.

Unataka kulazimisha uongo kuwa ukweli ili chuki yako dhidi ya Kenya iwe justified?
 
Dah! Hii hatari kwa kweli, haya Kenya kinaelekea kuiva, njooni wale huwa mnashabikia na kuomba Kenya ianguke, fursa yenu ya kupata raha ndio hii hapa.
Ongea mambo yenye kujenga. nani afurahie kifo cha mwingine?? Kenya is our true brother and partner. Kenya ikiharibika kama Somalia, sisi kama majirani hatutakuwa salama. itakuwa usharoba wa alshababu. watakuwa wakipitia hapo kuja kwenye nchi zetu. kama vile wahamiaji haramu na magaidi wanavotumia Libya kama usharoba wa kuingia ulaya. hawakujua ya kuwa Libya ilikuwa bafa zone ya ulaya. it was acting like a cushion or separator btn magaidi/wahamiaji haramu na ulaya. likewise Kenya iko kama Libya kwetu. hivyo haturahii Kenya kuharibika kwa sababu hiyo hapo juu.
 
Raila anawatakia nini Wakenya? Haki mkichinjana safari hii kwa sababu ya Raila kama 2007 basi hakikisheni na Raila anakuwa mstari wa mbele sio mnachinjana yeye yupo Chato anakunywa kahawa

Ila Mungu aepushie mbali hilo jinamizi linalo wanyemelea majirani zetu Wakenya
 
Hujui usemalo zaidi ya kuleta utoto hapa.
 
Dah! Hii hatari kwa kweli, haya Kenya kinaelekea kuiva, njooni wale huwa mnashabikia na kuomba Kenya ianguke, fursa yenu ya kupata raha ndio hii hapa.
Bro, utani wa jadi tuweke pembeni.. tunataka sana Kenya kuwe na amani maana hasara za nyie kukosa amani ni kubwa kuliko faida.
 
Mkuu achilia mbali udugu, hatuwezi kufurahia hata kidogo nyie kushika mapanga na kuchinjana in an uncivilized way. Kwanza suala la wakimbizi litatuathiri sana. Niamini, hata sasa hivi kuna wakenya wengi sana wanaoishi Arusha na Kilimanjaro, side to side na watanzania bila kubaguliwa.
Bora wachinjane ili tuone IQ wanazotamba kumiliki. Ni wajinga tu wanao chinjana lakini Intelligent being hawafiki huko
 
Back
Top Bottom