Video: Thousands of Police being Transported to Nyanza Kericho Kisumu highway

Dah! Hii hatari kwa kweli, haya Kenya kinaelekea kuiva, njooni wale huwa mnashabikia na kuomba Kenya ianguke, fursa yenu ya kupata raha ndio hii hapa.

GOD FORBID
Ewe Mwenyezi MUNGU ulie umba mbingu na ardhi tunakuomba uepushe balaa hili lisitokee..
 
Kwa hiyo wewe huna tabia ya kijaluo ya kupenda sifa na mademu ?!!
 
UK for president, yule grand pa imekula, akacheze na wajukuu, ana njaa sana na mdaraka ni time akubali kushindwa akapumzike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…