NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Hakuna MWANAUME anaepamia vifua vya WANAUME wenzake tafuteni tena maana ya uanaume.MLICHOKIFANYA NI KAMA M23 WANACHOKIFANYA KONGO.Sasa nani kawambia tutacheza na nyie ,tumaliza meche yetu jana tunaendelea na fixture nyingine na Wagosi wee endelea Kususa, si wanaume hatususi kwani hizo Drama za watoto wakike.