Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Ahsante sana Mkuu, umesema ukweli ulio wazi. Yaani sina cha kuongeza. Umeongea bila ushabiki, kongole 👏👏👏👏👏 TjediHata kama Yanga wamefanya kosa kuzuia mpinzani kufanya mazoezi bado hii sio sababu inayoweza kufanya mechi kuhairishwa badala yake Kuna adhabu kama fain zimewekwa.
Ingekuwa nchi inayofata sheria Yani hakuna influence ya serikali kwenye masmuzi ya bodi Wala timu, Simba wasingejaribu kususia mechi Wala TFF kuhahirisha. Sema wanajiamini kwakuwa serikali itaingilia kuwatetea na sheia zao za kutumia busara badala ya kufata kanuni.
Yanga wakikaza kufata kanuni lazima TFF na simba watawajibishwa lakini Sasa kinachokera hakuna mwenye ubavu wa kufanya hivyo ikiwa serikali itaingilia, rejea ishu ya feitoto ambapo kauli ya rais ikafanya yanga walegeze kamba na ule msimu wa 2021.