Video: Timu ya Yanga tayari imewasili uwanjani Mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa

Video: Timu ya Yanga tayari imewasili uwanjani Mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa

Fresh tuu nyie hiyo tarehe itakayo pangwa na bodi, mtacheza na bodi ya ligi.
Uzuri tukicheza na Bodi ya Ligi tuna uhakika wa pointi 3 na magoli ma3 toka mezani kwa Bodi. Ninyi chezeni na mabaunsa wenu mrudi kupiga utopolo matopeni. Hakuna mtakachopata.
 
Unataka picha gani.
View attachment 3263836
Yanga walitoa taarifa kwanza kwa TFF kabla ya kwenda kwa Meneja wakakataliwa,sasa umekataliwa ya nini uwende uwanjani kutengeneza DRAMA?

Wewe hujatoa taarifa kwa Meneja then ukaenda wakati meneja hana taarifa ulitegemea nini wakati mwenye ufunguo hamkumtaarifu au mnategema huruma kama DRAMA QUEENS.
Acha kulialia. Hamna uthibitisho wowote uliopost hapo zaidi ya hiyo kauli ya mwanasheria wenu kanjanja. Tuonyeshe hizo barua za kukataliwa.
 
Acha kulialia. Hamna uthibitisho wowote uliopost hapo zaidi ya hiyo kauli ya mwanasheria wenu kanjanja. Tuonyeshe hizo barua za kukataliwa.
Nani kalia ndio maana tumeenda uwanjani, kama kulia tungelia kipindi kile tulipo zuiwa kuingia uwanjani, pamoja na figisu zote mlizo fanya ila bado mkapigwa.
 
Mimi sio shabiki kindaki ndaki wa mpira lakini kwenye hili suala mashabiki inabidi na wao waoneshe msimamo wao. Wanachotakiwa kufanya ni kutokuingia uwanjani siku mpya ya mechi (itakayopangwa na bodi). Naamini kuna viongozi wa mashabiki wa hivi vilabu viwili, watoe msimamo wao kuwa pesa walizolipia kwenye mchezo huu zitumike kwenye michezo mingine ila sio mchezo mpya wa Yanga ya Simba. Wacheze wenyewe uwanjani bila mashabiki na mapato ya uwanjani ili liwe funzo waache kucheza na akili na pesa za mashabiki. Tofauti na hivyo hivi vilabu na hao TFF/Bodi hawataacha huu ujinga kamwe!
Halafu na zile gharama walizotumia Yanga kuandaa timu kule Avic Town kwa wiki nzima atalipa nani? Na vipi kuhusu wale mashabiki waliotoka Mikoani kuja kuishangilia timu yao, watafidiwa na nani gharama zao?
Na vipi kuhusu wale wafanyabiashara waliondaa bidhaa zao mbalimbali kwa ajili ya kuuza kwenye hiyo mechi, watafidiwa na nani?
Je, ni sahihi kwa timu kususia mechi kwa sababu ya kuzuiliwa na meneja wa uwanja kufanya mazoezi masaa 24 kabla ya mchezo, halafu Bodi ya ligi na yenyewe inaungana kirahisi tu na hiyo timu kuahirisha huo mchezo?

Je, na timu nyingine zikifanya upuuzi kama huu zitalindwa na hiyo Bodi ya ligi kama walivyolindwa simba?
 
Yanga hawajapata barua halafu ofisi haifanyi kazi kupitia Instagram.

Nyie mmegoma endeleeni na mgomo wenu sisi tumeamua kwenda uwanjani kwani leo tuna mechi. Uwanja ule unalipiwa na Yanga sababu ndiye mwenyeji.
Sahihi kabisa
 
Uzuri tukicheza na Bodi ya Ligi tuna uhakika wa pointi 3 na magoli ma3 toka mezani kwa Bodi. Ninyi chezeni na mabaunsa wenu mrudi kupiga utopolo matopeni. Hakuna mtakachopata.
Sawa basi subirini hiyo siku mtakayo cheza na bodi mpate point zenu tatu. Sisi leo tunabonanza letu uwanja tumelipia sisi.
 
Nani kalia ndio maana tumeenda uwanjani, kama kulia tungelia kipindi kile tulipo zuiwa kuingia uwanjani, pamoja na figisu zote mlizo fanya ila bado mkapigwa.
Yaani hadi chozi linakutoka mtoto wa watu, pole sana. Haihitaji ushauri wa daktari kujua umeumia saaana.
 
Kwa hiyo unaamka na bangi zako unaenda kuzuia mazoezi ya timu pinzani tena kwa fujo, unajiandaa kulipa vimilioni kadhaa huku umeshamdhoofisha mpinzani wako kimwili na kisaikolojia halafu fresh tu, si ndio?
Bangi wanavuta wale waliompigia manzoki makofi kwenye mkutano,,kasome barua ya bodi ya ligi mlimpa nani taarifa ya kwamba mnaenda kwenye mazoezi?
 
Bangi wanavuta wale waliompigia manzoki makofi kwenye mkutano,,kasome barua ya bodi ya ligi mlimpa nani taarifa ya kwamba mnaenda kwenye mazoezi?
Bodi hiyo hiyo ya ligi imesema mechi hakuna, hilo linakuambia nini?
 
Wameruhusiwa vipi kupita na msafara wao kwenye geti wakati bodi na TFF wameshatoa taarifa kuwa mechi hakuna. Halafu unamsikia chura mmoja anasema hawahusiki na kuwazuia Simba kuingia uwanjani siku ya jana.
Da! aisee umegundua na umeongea bonge la point watu wengi hawajaona hii.(Yanga wameingiaje wakati TFF wametoa tamko?)
Safi sana.
 
Back
Top Bottom