joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Tunacheza vizuri MKUU NDUGU hii mechi kwa ajili ya documentation na uwanja tumeulipia.Mko uwanjani chezeni Sasa kumamakeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunacheza vizuri MKUU NDUGU hii mechi kwa ajili ya documentation na uwanja tumeulipia.Mko uwanjani chezeni Sasa kumamakeh
Mbona hii mechi haikufutwa round ya kwanza au nyani ndio nyani haoni lake kund..........le.Sawa kabisa. Juzi juzi CAF waliifuta mechi kati ya Libya na Nigeria, na kuipa Nigeria ushindi wa goli 3 na points 3 baada ya Libya kufanya maujinga kama hàya ya Yanga.
Unamquote huyo mawanasheria wenu anayeshindwa kesi kila siku, ndiyo maana unaongea vitu vya ajabu.Kwani huko CAF hawa yajui haya,mbona wanacheza then maamuzi hufanyika baadae baada ya kupata ripoti na timu zina safiri maelfu ya miles ila hazisusii na zinacheza mechi. Inamaa kule hamna CAF wachezaji issue ya kisaikolojia haiwahusu.
Sasa jana si umezuiliwa na mwenye funguo za uwanja wa taifa ambaye hukumpa taarifa, kwani umezuiliwa na Yanga?
Yanga tuliomba kutumia uwanja siku moja kabla ya mechi round ya kwanza tukanyimwa hiyo nafasi,hatukususa tukacheza na tukakugonga kwa mara ya nne,kwani tuna jua hata huko CAF hizi issues zipo ila baada ya mechi tulitegemea TFF watoe adhabu kwa walio tuzia ila hawakutoa adhabu likaisha juujuu.
View attachment 3263809
Mwanasheria au ni hali halisi tuliyo ipitia round ya kwanza.Unamquote huyo mawanasheria wenu anayeshindwa kesi kila siku, ndiyo maana unaongea vitu vya ajabu.
Libya walimfanyia vitimbi Nigeria na baada ya Nigeria kujaribu njia zote kutatua jambo na kuona hata wangecheza mechi wasingekuwa sawa kisaikolojia na kimwili na ndiyo lilikuwa lengo la Libya, Nigeria wakasusa kucheza hiyo mechi. Tupe maamuzi ya CAF yalivyokuwa.
Utopolo mda wote ni kufata maelekezo ya mgangaView attachment 3263822
IKwa hiyo unaamka na bangi zako unaenda kuzuia mazoezi ya timu pinzani tena kwa fujo, unajiandaa kulipa vimilioni kadhaa huku umeshamdhoofisha mpinzani wako kimwili na kisaikolojia halafu fresh tu, si ndio?
Tuonyesheni picha ya basi la Yanga likizuiwa kuingia uwanjani kufanya mazoezi siku moja kabla ya derby.Mwanasheria au ni hali halisi tuliyo ipitia round ya kwanza.
Okay uliiona Yanga round ya kwanza ikifanya mazoezi siku moja kabla ya mechi?
Mbona hatujasusa,ila TFF ikaja kuwabeba sizani hata kama ripoti waliipitia.
Sizikumbuki mechi ila kuna mechi nyingi hasa Uganda wa uarabuni, timu ngeni zinafanyiwa vitimbi, wananyimwa uwanja ila still mechi inachezwa na maamuzi hufanyika baada ya ripoti kupitiwa na CAF.
Sasa kwa nini huku round ya kwanza hakijafanyika kitu kama hiko, baada ya Yanga kuzuiwa? Halafu hizo kanuni mmeanza kuzijua jana,mbona round ya kwanza hamkuzi heshimu.
Sahihi kabisa. Wanaelekea kubaya sana maana kila uhuni wanaofanya wanaishia eti kupewa tu "onyo kali". Wameshajiona wako juu ya sheria.Ili kuweka makali na timu ziheshimiane Yanga wanapaswa kupigwa burn la maana lasivyo huko tunapoelekea kama sio machafuko uwanjani basi rungu la CAF.
I
raha ya kuroga,turoge wote🤣🤣🤣Sisi timu tunaipeleka Taifa, kisa cha kuahirisha mechi ni ujinga wa watu wanaoamini nguvu za giza. Jana hakuna wachezaji walioenda kufanya mazoezi usiku. Kwenye basi mlijaza vibabu kibao, kondoo na mbuzi. Mlitaka mkapike supu mule ndani?
Acheni uchawi wenu, kinachowafanya leo msilete timu, ni hiko makafara yenu hayakufanyika hovyo kabisa. Na mna bahati nyie, leo mngeokota mipira wavuni, mpaka mngekimbia uwanjani. Zile 5 ingekuwa mara mbili simbilisi nyie, mmetukosesha uhondo.
Chezeni na mabaunsa wenu. Yanga na SPORTS CLUB na sio Footbal Club. Mnaweza cheza mieleka pia au ngumi. Hiyo nayo ni dabi ya JangwaniYanga hawajapata barua halafu ofisi haifanyi kazi kupitia Instagram.
Nyie mmegoma endeleeni na mgomo wenu sisi tumeamua kwenda uwanjani kwani leo tuna mechi. Uwanja ule unalipiwa na Yanga sababu ndiye mwenyeji.
TFF na Bodi ya Ligi wanaidekeza sana timu ya simba.Mambo ya Kijinga sana, TFF na Bodi ya Ligi inapaswa kuondoka yote, Unaahirisha mchezo kwa sababu ipi ya msingi? Gharama za mchezo na fidia inakuwaje? Boashara utd na JKT Queens kwanini michezo haikuahirishwa na kupangiwa siku nyingine badala yake mkawaonea kuwakata alama??
Unataka picha gani.Tuonyesheni picha ya basi la Yanga likizuiwa kuingia uwanjani kufanya mazoezi siku moja kabla ya derby.
Fresh tuu nyie hiyo tarehe itakayo pangwa na bodi, mtacheza na bodi ya ligi.Chezeni na mabaunsa wenu. Yanga na SPORTS CLUB na sio Footbal Club. Mnaweza cheza mieleka pia au ngumi. Hiyo nayo ni dabi ya Jangwani
Ukiulizwa sababu za kuahirishwa kwa hiyo mechi, utajibu nini?Uongozi wa Yanga nao wako very unprofessional. Wanapelekaje timu wakati mechi imeahirishwa? ili iweje? Wachukuliwe hatua..
Benchi la ufundi Oyeeeee. Ila mnatia aibu sana, nyie hamjiamini ndiyo tatizo. Mkiisikia Yanga, mlivyoona video wachezaji wa Yanga wanavyojifua kimazoezi. Mkasema piga uwa hatuchezi nao Jumamosi. Mtani mmeanza kutukimbia tena 😂😂😂😂😂raha ya kuroga,turoge wote🤣🤣🤣
Pale upuuzi na wapuuzi vinapokutanishwa kipuuziWakuu
Yanga tayari wamewasili uwanjani benjamin mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa.
View attachment 3263731
Soma, Pia
Rejea taarifa ya bodi ya ligiUkiulizwa sababu za kuahirishwa kwa hiyo mechi, utajibu nini?