Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa isipochezwa unamkomoa nani? Au makali unamwonyesha nani? Wahuni ni wale waliokimbia mechi na wale walioahirisha mechi kienyeji,,akuna kanuni yoyote inayotamka ukizuiwa kufanya mazoezi ugomee mechi!Hatutaki mechi ichezwe tena siyo tu kuahirishwa. Ni muda wa kutokomeza uhuni katika ligi yetu. Kidogo kidogo ngoja tupimane makali.
Kiweriweri Cha kweniVisingizio tu!
AZIZ yuleeeeee...😁Wakuu
Yanga tayari wamewasili uwanjani benjamin mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa.
View attachment 3263731
Soma, Pia
Jibu ni rahisi tu, uongozi wa uwanja nao ni kama.wanatumika pia na yanga,, kiongozi anayejitambua kwa jins teknolojia ilivyo kubwa nina uhakika walikwishakupewa taarifa kua hakuna mechi hivyo waliopo ndani watolewe na geti lifungwe na asiingie mwingine yoyote..ajabu sababu wanatumika, wametoa watu, halafu eti wamewaruhusu yanga kuingia..ujinga ulioje.Nani kawaruhusu waingie. Tykisema kuna mambo yapo kuholela kwenye mpira wetu wahusika wanakataa
Dogo umeng'ang'ania barua barua, wewe uko huko madongo kuinama una namba ya hersi kudhibitisha kua hawajapokea barua kupitia yeye ..Professional wapi wakati barua hawajapata? Yanga ni taasisi na inaofisi, haifanyi kazi kupitia Instagram. Hiyo ndiyo Professionalism hizo Instagram labda kama ni ofisi ya Mwijaku na Baba levo.
Duh...kwamba wanapooza kafara walilofanya?Kipo kitu jana walifanya,kiasi wakawa tayar kwa kulipia ghasia zao. Leo sharti wakanyage uwanja ulozi upon.
Mechi ichezwe wakati timu haijafanya mazoezi siku mbili. Unadhani hilo litamfaidisha nani kati ya hizo timu mbili?Drama queen nyie,huko CAF huko uarabuni mara kibao timu zinazuiwa kutumia uwanja baada ya mechi, ila siku husika mechi inachezwa then maamuzi ya CAF yanafanyika baada kupitia ripoti ya mechi husika.
Yaani hata hao CAF wenyewe wakisikia watawashangaa, ila si shangai nyie waziwanda wa TFF mnawamudu TFF.
Wewe kiazi kwa hiyo siasa umeachana nazo au na ww MPUMBAVU kama unavyo waita wanaopenda mpira? Ofisi gani leo ipo wazi tena mda huu.....? Mbona akili ya kawaida hii haitaji hata uwe O-Level...Dogo umeng'ang'ania barua barua, wewe uko huko madongo kuinama una namba ya hersi kudhibitisha kua hawajapokea barua kupitia yeye ..
Ujinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Kama na utu uzima huo unaamini mambo ya kishirikina you are a wastless sperm.Sisi timu tunaipeleka Taifa, kisa cha kuahirisha mechi ni ujinga wa watu wanaoamini nguvu za giza. Jana hakuna wachezaji walioenda kufanya mazoezi usiku. Kwenye basi mlijaza vibabu kibao, kondoo na mbuzi. Mlitaka mkapike supu mule ndani?
Acheni uchawi wenu, kinachowafanya leo msilete timu, ni hiko makafara yenu hayakufanyika hovyo kabisa. Na mna bahati nyie, leo mngeokota mipira wavuni, mpaka mngekimbia uwanjani. Zile 5 ingekuwa mara mbili simbilisi nyie, mmetukosesha uhondo.
Walipelekewa Barua rasmi ya Taarifa ya kuahirishwa mechi?Uongozi wa Yanga nao wako very unprofessional. Wanapelekaje timu wakati mechi imeahirishwa? ili iweje? Wachukuliwe hatua..
Sawa kabisa. Juzi juzi CAF waliifuta mechi kati ya Libya na Nigeria, na kuipa Nigeria ushindi wa goli 3 na points 3 baada ya Libya kufanya maujinga kama hàya ya Yanga.Hatutaki mechi ichezwe tena siyo tu kuahirishwa. Ni muda wa kutokomeza uhuni katika ligi yetu. Kidogo kidogo ngoja tupimane makali.
Kwa hiyo unaamka na bangi zako unaenda kuzuia mazoezi ya timu pinzani tena kwa fujo, unajiandaa kulipa vimilioni kadhaa huku umeshamdhoofisha mpinzani wako kimwili na kisaikolojia halafu fresh tu, si ndio?Sasa isipochezwa unamkomoa nani? Au makali unamwonyesha nani? Wahuni ni wale waliokimbia mechi na wale walioahirisha mechi kienyeji,,akuna kanuni yoyote inayotamka ukizuiwa kufanya mazoezi ugomee mechi!
Yaani wanamvuruga mpinzani wao kimwili na kisaikolojia kwa kumnyima haki zake za msingi wakijua hiyo itawapa wao faida uwanjani siku ya mechi halafu wanataka watu wawafumbie macho. Wameingia cha kike....kuna kitu watajifunza safari hii hawatasahau.Sawa kabisa. Juzi juzi CAF waliifuta mechi kati ya Libya na Nigeria, na kuipa Nigeria ushindi wa goli 3 na points 3 baada ya Libya kufanya maujinga kama hàya ya Yanga.
Kwani huko CAF hawa yajui haya,mbona wanacheza then maamuzi hufanyika baadae baada ya kupata ripoti na timu zina safiri maelfu ya miles ila hazisusii na zinacheza mechi. Inamaa kule hamna CAF wachezaji issue ya kisaikolojia haiwahusu.Mechi ichezwe wakati timu haijafanya mazoezi siku mbili. Unadhani hilo litamfaidisha nani kati ya hizo timu mbili?
Unadhani saikolojia ya wachezaji wa Simba ingekuwaje kuingia mechi ya leo baada ya kukalishwa pale getini kwa zaidi ya masaa mawili huku wakirushiwa maneno, vitisho na kebehi na wale wahuni wenu? Wakati huo huo wapinzani wao wako huko Kimbiji wamelala unono?
Yanga ilikula nyoya kwasababu wenye makosa ilikuwa bodi ya ligi, taarifa ya kubadili muda wa mchezo ilipaswa .iwe ndani ya saa 24 ndiyo maana hawakula rungu, ila hili la leo lipo wazi!Gentleman!
Simba na Yanga ni tofauti sana na hizo timu ulizozitaja. Na tatizo kuu linaanzia hapo.
Mei 08,2021 mlivyokula 'Nyoya' Simba alipewa point?
Lazima ifikie mahali Simba iheshimike na sio inavyochukuliwa kwamba wao kila kitu 'Hewala'.
Uvumilivu una kikomo.