VIDEO: Trafiki wanavyolazimisha faini hata makosa ya kuelekezwa

VIDEO: Trafiki wanavyolazimisha faini hata makosa ya kuelekezwa

Na zaidi, faini moja wameiwekea ukomo wa siku saba.

Sasa kama ameshaandikiwa, si aachwe kwa kipindi walichoweka wenyewe, mtu ajitafute!

Kosa hilo hilo, asipolipa, deni linakuwa mpaka 60,000. Sasa anapaswa alipwe faidi na kushughulikia kilichomshinda kwa kipindi chote mpaka akakamatwa!

Reprimanding si kitu kinaeleweka kwa wavivu wa kufikiri.
 
Bahati nzuri nchi hii inanuka matatizo makubwa kila Kona.

Kila mmoja ataumizwa kwa wakati wake.

Wakati mwingine anaumizwa wengine wanaona haiwahusu.

Sulubika utaabike.

Watu Wana targrt ya mapato.

Usitegemee ukawa hauna kosa.
Ndo maana moshi/Kilimanjaro tunataka kujitenga na kuwa taifa linalojitegemea. Huu upuuz kamwe hautakuwepo.


Accumen Mo
 
Rushwa yenye unakuta buku ngapi tu traffic wana njaaa
 
Gari jipya mwambie akajifunze kwa wenzie wazoefu jinsi ya kuishi na traffic kuepukaa fine
 
Usipojua kuishi na traffic jioni lazima boss akutimue kisa hesabu haitimii ataweka mwingine.
Wakati mwingi midomo uwaponza wabongo wengi ujuaji mwingi kwenye makosa.
 
mimi nilipelekwa kituoni na kupewa kesi kibao, kisa nimekaza kutoa rushwa kwa traffic, akachomoa funguo. kulipisha leseni ataki
 
Kiukweli hiki kitengo cha Traffic ni changamoto kwa maendeleo ya nchi
 
Back
Top Bottom