MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Watu wamepewa target ya Mapato.Askari wa barabarani ni wanakera sana. Kuna makosa mengine ni ya kuelekezana tu, ila wao wanakimbilia kwenye faini au kukutengenezea mazingira ya kutoa rushwa.
Binafsi nisipowaona barabarani wakati nikiwa safarini, huwa ninafarijika sana.
Unataka Nani alipe?
Chagua mwenyewe, rushwa ya elfu 5 au 10 au uandikiwe ukalipe fine ya elfu 30 mbele kwa mbele na ukichelewa kulipa Ina riba