VIDEO: Trafiki wanavyolazimisha faini hata makosa ya kuelekezwa

VIDEO: Trafiki wanavyolazimisha faini hata makosa ya kuelekezwa

Niko zangu hapa nchi ambayo hamna rushwa hata mimi mmatumbi mweusiii tii kama avatar yangu inavyoonesha nina haki nikibaguliwa nina haki ya kufidiwa. Ngoja niamke niende zangu hapo McDonald's nifakamie big mac na vanilla milk shake.
Hapa nakoishi uwezi kuona skari sio wa barabara au police wa kawaida, labda ufanye kosa kubwa kama kupiga mikelele mtaani, watakuja kama nyuki,hapa fine ni kwenye highway ukitembea zaidi ya 120ph ukipita camera ya kwanza watakusikilizia kupiti ya pili wanakusikilizia ya tatu lazima ulambe cheti ukifika nyumbani utakikuta cheti chako kinakuonyesha full picha yako na gari lako, lazima utalipa ukiletaubishi mambo yanakuwa mengi watanza kukagua Lesen yako watataka kujua unaishi huku kwa mpango gani utaibua mambo mengi.
 
Unasubiri kutoka kwa Nani?

Jana nimeona Clip yako mtandaoni ukihojiwa Ulaya👇👇👇


Wewe MoseKing acha mambo ya kijinga kuanika watu. Moshi ikishakuwa jamhuri mtaingia na visa hatutaki waswahili
 
Wa hivyo unamtegea unaporudi unavunja miguu, yote basi, traffic case unalipa fine Shughuli imeisha, unafudia hela na hasira zako
 
Jitahidi kufuata sheria za barabarani. Wakikuandikia unaweza ku-appeal kituoni unapoendelea na safari. Ukishindwa toa rushwa uendelee na safari.
Blah blah blah blah, eti unaweza ku appeal!,mkuu inaonekana unaishi kule Unango, #vunja na jenga upya jeshi la police Tanzania, ondoa neno FORCE na weka neno SERVICE
 
Askari wa barabarani ni wanakera sana. Kuna makosa mengine ni ya kuelekezana tu, ila wao wanakimbilia kwenye faini au kukutengenezea mazingira ya kutoa rushwa.

Binafsi nisipowaona barabarani wakati nikiwa safarini, huwa ninafarijika sana.
 
Back
Top Bottom