Video: Tuacheni utani, Kabendera anatia huruma

Video: Tuacheni utani, Kabendera anatia huruma

Wewe umejuaji kama ni haki au sio haki kabla kesi haijasikilizwa?
Au mmlishirikiana naye kufanya hayo yalopelekea kukamatwa? So Una details!!
Sasa wewe ndiyo umendika nini hiki. Umeelewa kinachojadiliwa? Kama Ushahidi haujakamilika ni kwa nini walimkamata?
 
Huyu jamaa tukiacha unafiki alimtukana sana Magufuli, mbaya alikuwa anatumia gazeti na maadui zetu wazungu... Tena aombe sana Mungu bado yupo hai, anajua Jamal Khashogy alicho fanyiwa baada ya kuichafua nchi yake na kukimbilia Marekani?



Sent using Jamii Forums mobile app
Yule Binti yako aliyepotea umempata Mkuu? Kwa akili ya namna hii, acha tu wahuni WAMTAFUNE KISAWA SAWA huko aliko hadi akili za kiCCM zikutoke kwanza.
 
Back
Top Bottom