Video: Tuacheni utani, Kabendera anatia huruma

Utapata taabu sana, huyu hatoki yaani..
Kwa nini nipate tabu, kwani ni mimi nilimbambikizia kesi?
Usilojua ni kwamba, huyo anayeamuru watu wafanywe hivyo ndio anapata taabu sana kuliko wengine wote.
Nenda kmuulize! Huenda atakupa ukweli.
 
Sio woga ni mawazo kufiwa na mzazi wake na yeye yupo jela ipo siku nawe utakuwa ndani na utakuja kufiwa na mpendwa wako tutakuona
Woga wake tu, mbona watu kibao wanaenda gerezani na wako poa tu. Hata kalasinga Seth saa huu kashazoea itakuwa huyo Kabendera? Hapo sana sana anamfurahisha aliyeagiza awekwe ndani. Yeye ni mwanaume asiwe slack.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The question is, IS THIS THE REALITY OF TODAYS TANZANIA??? and the answer is a RESOUNDING YES. ni takika mataifa masikini na yanayoongozwa na dakikteta ambao hawakuenda shule wala hawana utu kaa magufuli ambayo ndio inakataa ukweli, na usiseme hatpoki mpaka magufuli atoke madarakani hakuna ajuae kesho, huenda magufuli kesho hii inayokuja asiwe hai, na ninaona kina pascal ambao ndio wahusika wakuu wakilike hii majibu yako, Siku za akina pascal ZIMEHESABIWA, TAKE THAT TO THE BANK
 
Asante tazama hapa kwa youtube vile mossad wa israel waliwawida hao watu wa hitler na kuwaua moja kwa moja, wengine waliuawa huko latin america, siku yaja tu
 
Sio woga ni mawazo kufiwa na mzazi wake na yeye yupo jela ipo siku nawe utakuwa ndani na utakuja kufiwa na mpendwa wako tutakuona

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni hivi, kama huo ndio utetezi wenu kuhusu yeye, basi the guy he is not strong enough. Hapo anawapa credit walioagizwa awekwe ndani kwani watajua fika njia yako ya kupandikiza woga inafanya kazi kwa ufanisi.
 
Dogo ungebahatika kujua nchi ilivyoliwa na inavyoliwa na hao wahuni unaoawaita vjongozi, nadhani ungeandamana uchi,

Hizo buku 7 unalipwa mwenyewe unaona umeyapatia maisha enhe!
Wangeandamana uchi wazazi wako waliokupeleka shule, ukawaona wajinga, ukakimbia umande.. Sasa maisha yanakupiga, unakalia kuwachukia hard working people wanaofanikiwa. Sio kila wanaofanikiwa wameiba!
 
Mnamuonea pasko jamani. Kabendela ameisnichi nchi acha sheria ichukue mkondo wake alichofanya ni kuhujumu maendeleo. Kama hana kosa sheria itamuachia.
Mbiona hata kosa lenyewe limekuwa la kutafuta na tochi kwenye mavumbi ?, hamuoni kama kama tuhuma hizo ni za kupika ?, ushahidi haujakamilika !!, machozi ya mama yake yaweza kudhuru mtu
 
Wazungu hawa hawa wanaochangia bajeti katika nchi yetu Leo ni maadui zetu? Wazungu hawa hawa ambao serikali ya CCM inaingia nao mikataba mibovu ili wahamishe rasilimali zetu Leo hii tena wameshakuwa maadui?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninapenda kutumia wasaa huu kumuombea msamaha kijana Erik Kabendera kwa wote wenye mamlaka ya kikatiba na kisheria ambao kwa nanna moja walikwazwa, kujeruhiwa, kutofurahishwa ama kuumizwa na maandiko ya kijana huyu.
Hayo mashtaka yanayomkabili yanahusu maandiko au utakatishaji fedha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…