Uchaguzi 2020 VIDEO: Tundu Lissu akiwasalimu watu wa Nyamongo akiwa njiani kuelekea Serengeti. Ni baada ya kupigwa mabomu

Ccm hawatumii akili kabisa sasa nyamongo lissu,amewahi watetea wananchi 400,ameoa nyamongo kwa mazingira hayo wananch wako tayari hata uwapige rocket,mwaka nec wajue wanadili na mwanaharakati siyo mwanasiasa huyu
 
Ndiyo hivyo. Nahandika nnachojisikia hata kama mtu ataona sina oja
 
Ccm hawatumii akili kabisa sasa nyamongo lissu,amewahi watetea wananchi 400,ameoa nyamongo kwa mazingira hayo wananch wako tayari hata uwapige rocket,mwaka nec wajue wanadili na mwanaharakati siyo mwanasiasa huyu
Wamemnyoosha Leo. Kapigwa mabomu analialia tu.
 
Watu wa nyamongo lipizeni kisasi tarehe 28/10/2020 kwenye sanduku la kura. SAMA HAPANA KWA CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…