Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kila kona wametanda,kazi hakunaKama wanachokifanya ni halal hawa MAPOLISI WANAFANYA NN HUKU MITAANI
Mfano pale mwenge Leo polsi waliojuwa na silaha walikuwa wametañda kama kuna vita
Unatafunwa na laana ya nn ? Aù magufuli alikuachia mimba?Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna.
#tutashitakiwa miga
Mkuu magufuli harudi tena hata ufanyajeLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna.
#tutashitakiwa miga
Hilo ni swala la Usalama! Wanaopaswa kumpa maji ni askari magereza.