Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Utakumbuka hivi Majuzi Rais wa Tunisia Mh. Kais Saed alisema nchi yake inavamiwa na Waafrika ambao wanataka kubadili demography ya nchi yake. Sasa Mzee Mmoja akihojiwa nchini humo ameeleza kuwa Waafrica hawana dhamani kama wao Watunisia na wao wamekuwa wakiwauza tu kama bidhaa.
Siku za karibuni pia umoja wa wanafunzi wa Kiafrika wanaosoma Tunisia wametoa tamko la kutotoka nje ili kuepuka kushambuliwa na Watunisia mitaani.
Siku za karibuni pia umoja wa wanafunzi wa Kiafrika wanaosoma Tunisia wametoa tamko la kutotoka nje ili kuepuka kushambuliwa na Watunisia mitaani.