Video: Tunisia Wanavyojisifu Kuuza Watumwa wa Kiafrika

Video: Tunisia Wanavyojisifu Kuuza Watumwa wa Kiafrika

Kamwe tutapiga kelele tunasema mengi lakini hatuwezi kuheshimika pasipo kupiga hatua kimaendeleo. We fikiria hata kwenye ukoo, wale wenye pesa wanasikilizwa kuliko kapuku.
Hakuna kitakachobadilika kama hatutabadilika afrika viongozi wakaacha wizi, tukawa na roadmap ya kujenga nchi zetu
📌📌📌
 
Watunisia ni washika dini waliopitiliza usifananishe na ile mi-bushmen ya SA isiyo na dini. Tunisia wanategemewa wawe tafauti.
Ulivo na ujinga mwingi kubaguliwa na mwarabu kunakuuma zaidi ya kubaguliwa na mtu mweusi mwenzako kutoka South Africa
 
Utakumbuka hivi Majuzi Rais wa Tunisia Mh. Kais Saed alisema nchi yake inavamiwa na Waafrika ambao wanataka kubadili demography ya nchi yake. Sasa Mzee Mmoja akihojiwa nchini humo ameeleza kuwa Waafrica hawana dhamani kama wao Watunisia na wao wamekuwa wakiwauza tu kama bidhaa.

Siku za karibuni pia umoja wa wanafunzi wa Kiafrika wanaosoma Tunisia wametoa tamko la kutotoka nje ili kuepuka kushambuliwa na Watunisia mitaani.
View attachment 2536938

View attachment 2536939

View attachment 2536940
UNafiki wa viongozi wetu Afrika kukaa kimya kwa hizi events ndiyo mauti yetu.

Labda wananufaika
 
Ndo kashasema utaki andamana
Kla nchi inautaratibu wake kwaiyo unataka wasiseme km wanaingiliwa na mijitu mweusi inataka kuaribu mira na tamaduni zao

Watu weusi tunaongoza kwa kulalamika tunataka kuingie nchi za wenzetu bla taratbu
Af tukikataliwa tunarusha kale kakarata ketu km kubaguliwa
 
Tupambane tujenge nchi zetu maana utajiri asili tunao wa kutosha.
 
Utakumbuka hivi Majuzi Rais wa Tunisia Mh. Kais Saed alisema nchi yake inavamiwa na Waafrika ambao wanataka kubadili demography ya nchi yake. Sasa Mzee Mmoja akihojiwa nchini humo ameeleza kuwa Waafrica hawana dhamani kama wao Watunisia na wao wamekuwa wakiwauza tu kama bidhaa.

Siku za karibuni pia umoja wa wanafunzi wa Kiafrika wanaosoma Tunisia wametoa tamko la kutotoka nje ili kuepuka kushambuliwa na Watunisia mitaani.
View attachment 2536938

View attachment 2536939

View attachment 2536940
Kuuzwa na kununuliwa kwa watu weusi,hakujaanzia Tunisia,kulifanyika Karne nyingi zilizopita,
Huyo Raisi anamgogoro mkubwa wa kisiasa nchini kwake,sasa ilibidi atengeneze Swala la kuwatoa watu kwenye reli Ili wasahau kidogo kuishambulia serikali yake,ikabidi aanzishe Swala controversial Ili kumgusa kila raia,na wananchi wengi wameingia king
 
Rasilimali zetu ndiyo umaskini wetu
Mi naona hatuna nia ya kujikomboa hatujifunzi hata baada ya miaka 60 ya uhuru. Mbona waarabu wameweza kutumia rasilimali kujikomboa na umasikini? Tatizo ni sisi na viongozi siyo rasilimali
 
Utakumbuka hivi Majuzi Rais wa Tunisia Mh. Kais Saed alisema nchi yake inavamiwa na Waafrika ambao wanataka kubadili demography ya nchi yake. Sasa Mzee Mmoja akihojiwa nchini humo ameeleza kuwa Waafrica hawana dhamani kama wao Watunisia na wao wamekuwa wakiwauza tu kama bidhaa.

Siku za karibuni pia umoja wa wanafunzi wa Kiafrika wanaosoma Tunisia wametoa tamko la kutotoka nje ili kuepuka kushambuliwa na Watunisia mitaani.
View attachment 2536938

View attachment 2536939

View attachment 2536940
Kumbe Tunisia ni dini gani vile
 
Ulivo na ujinga mwingi kubaguliwa na mwarabu kunakuuma zaidi ya kubaguliwa na mtu mweusi mwenzako kutoka South Africa
Kwani waarabu ni wabaguzi? Watu wa deen wanakuwaje wabaguzi? Mjinga!
 
Ukweli ni kwamba ninyi weusi jengeni nchi zenu ziwe bora hapo hakuna excuse yoyote, mambo ya kufaidi waliojenga nchi zao kwa jasho wewe ukale raha hayapo
Huu ukweli unauma!
 
WaTunisia hawana udini wowote wahuni na mahabithi tu walana nyuma wale.
Waliojawa mila chafu za kiarabu na ujinga
Na nachoshukuru Mungu mataifa yanayoshoboka kwao ni west Africa na central Africa nations ila sie East na south twajitosheleza.
Watunisia ni washika dini waliopitiliza usifananishe na ile mi-bushmen ya SA isiyo na dini. Tunisia wanategemewa wawe tafauti.
Hawana
 
Ukweli ni kwamba ninyi weusi jengeni nchi zenu ziwe bora hapo hakuna excuse yoyote, mambo ya kufaidi waliojenga nchi zao kwa jasho wewe ukale raha hayapo
Tunisia yenyewe Haina lolote.
Tunisia inafatwa na masikini wenzao kama Ivory coast,Ghana,Gabon,Mali n.k.
We nambia Kuna taifa gani la East Africa linaota kwenda Tunisia!?
Tunisia ambayo inaripotiwa kuongoza Kwa illegal migrants to Europe.
 
Watu weusi acha tuteswe tu akili ikae sawa tumezoea omba omba kama ni aibu
Haiwezekani tuna rasilimali za kila kitu na tuna ardhi nzuri, leo hii Mfumuko wa bei unaathiri maisha yetu hadi kwenye kilimo?

Hata Kilimo inatushinda ?
Tuna bandari hatuwezi kusimamia?
Tuna madini hatuwezi kusimamia?

Ni kitu gani tunachoweza kufanya?

Acha tuteswe AKILI IKAE SAWA haiwezekani tuishi kwa
Kukata mauno tu ndy tunaweza

Ova
 
Kwahiyo mtu akisha kuwa mwarabu basi huyo ni mshika dini basi sawa.
Zezeta la jamiiforum likishashiba makande linakuja hapa kwa kuisema dini flani, yaani wao mawazo yao yamekaa kichuki tu, ukiskia mazezeta ndio kama hayo
 
Back
Top Bottom