hilo limepita tupo na hili la Tunisia , nyiny ndo mnafanya tuitwe kimah , maana inabid tuwe wamoja dhid ya tabia hiz za kibaguz , znaendelea sabab hatuchukui hatuaKama weusi wenzenu huko S.Africa hawawataki na kufikia kuwauwa mnataka waarabu wawapende kwa lipi?
kwa kakuambia kuwa ni washika dini kisa wao ni waarabu ?Kwahiyo mtu akisha kuwa mwarabu basi huyo ni mshika dini basi sawa.
Chin ya CCM hatutaweza kusimamia chochote nduguWatu weusi acha tuteswe tu akili ikae sawa tumezoea omba omba kama ni aibu
Haiwezekani tuna rasilimali za kila kitu na tuna ardhi nzuri, leo hii Mfumuko wa bei unaathiri maisha yetu hadi kwenye kilimo?
Hata Kilimo inatushinda ?
Tuna bandari hatuwezi kusimamia?
Tuna madini hatuwezi kusimamia?
Ni kitu gani tunachoweza kufanya?
Acha tuteswe AKILI IKAE SAWA haiwezekani tuishi kwa
Ni kama tuna laana ukipambana kufanya jambo la maendeleo unakuwa adui kwa kila mtu na Serikali kwa ujumla.Watu weusi ni tatizo duniani
Wao waishie tu Kula kilichopo na kuzaliana
Suala la kuwa na Umoja, kuwa na maarifa na kuyatumia tuwaachie ngozi nyeupe
Hatupendani, Tunalogana, Tunauana
Nakuunga mkono mkuu. Majukwaa mengi ya wabongo yamejaa story za kunyanduana, kuridhishana kingono na mengine yanayofanana na hayo. Huwezi kuta upuuzi huo kwenye nchi zinazojielewa.Watu weusi ni tatizo duniani
Wao waishie tu Kula kilichopo na kuzaliana
Suala la kuwa na Umoja, kuwa na maarifa na kuyatumia tuwaachie ngozi nyeupe
Hatupendani, Tunalogana, Tunauana
Si CCM pekee Afrika kwa ujumla kila pahala pameozaChin ya CCM hatutaweza kusimamia chochote ndugu
Wa China wamejaa kila sehemu tunakoelekea fursa zote zitabaki za wao sisi tutabaki na ajira za jeshi, na wabunge akina Mwigulu, Msukuma, Kibajaji na Deo sanga ila ajira zingine za kitaaluma zitabaki za wachina sisi tutabaki na kubeba bokisi ili tupate hela ya ku-bet na kamali.Nakuunga mkono mkuu. Majukwaa mengi ya wabongo yamejaa story za kunyanduana, kuridhishana kingono na mengine yanayofanana na hayo. Huwezi kuta upuuzi huo kwenye nchi zinazojielewa.
Unawawekaje wa-tunisia kwenye kushika dini unajua Tunisia ni nchi chache ambazo hawajashika sana diniWatunisia ni washika dini waliopitiliza usifananishe na ile mi-bushmen ya SA isiyo na dini. Tunisia wanategemewa wawe tafauti.
Unampigia mbuzi gitaa.Unawawekaje wa-tunisia kwenye kushika dini unajua Tunisia ni nchi chache ambazo hawajashika sana dini
Mimi nashangaa watu wamekuja juu balaa!!ni nchi gani duniani inaweza kukubali tu watu waishi bila vibali halali?hapa tu kila siku utasikia wahamiaji haramu wamekamatwa na wanaishia jela!!!Na huko Tunisia wengi ni kutoka West Africa,na imekuwa ni njia ya kuzamia ulaya!!Hata hao viongozi wa AU,ni wanafiki tu wao ndio chanzo cha wimbi la waafrika wengi kukimbilia ulaya kupitia njia hatari!!Ukweli ni kwamba ninyi weusi jengeni nchi zenu ziwe bora hapo hakuna excuse yoyote, mambo ya kufaidi waliojenga nchi zao kwa jasho wewe ukale raha hayapo
Inategemea ni warabu wa kutoka nchi gani!!sana sana ni hizo zenye vita na migogoro.Wao sasa imekuwa kero na inshu sio kwenda ulaya/amerika bali unakwendaje? Wazungu wenyewe wanatamani kwenda US!!Ila waarabu hawa hawa wanakimbilia maisha mazuri Ulaya na America !
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Si ndiyo wanataķa haki yao sasa muondoke nchi si yao bwana wameijenga wenyeweWaarabu dini yao ni ya hakhi; waache kutenda kinyume na dini.
zipo taratibu , usiwe barbaric ivyooMimi nashangaa watu wamekuja juu balaa!!ni nchi gani duniani inaweza kukubali tu watu waishi bila vibali halali?hapa tu kila siku utasikia wahamiaji haramu wamekamatwa na wanaishia jela!!!Na huko Tunisia wengi ni kutoka West Africa,na imekuwa ni njia ya kuzamia ulaya!!Hata hao viongozi wa AU,ni wanafiki tu wao ndio chanzo cha wimbi la waafrika wengi kukimbilia ulaya kupitia njia hatari!!
Kwani walioko kisheria huko mbona hawasumbuliwi hivyo?yaani wahamiaji haramu wametapakaa mitaani kwa kujenga mabanda ya kuishi ovyo ovyo tu!!zipo taratibu , usiwe barbaric ivyoo
Dini kitu gani wewe mbona unakuwa mjinga? Yaani unachukua lugha za wakoloni unazibeba kwenye fikra zako. Eti bushmen. Hizo dini za Mashariki ya Kati ndo msingi wa utumwa. Na mnaoabudu hizo dini ni watumwa wa akili, na mkiingia katika anga za wenye dini zao ndo wanawageuza kirahisi kuwa watumwa na kuwa wakala wao wa kuwatafutia watumwa.Watunisia ni washika dini waliopitiliza usifananishe na ile mi-bushmen ya SA isiyo na dini. Tunisia wanategemewa wawe tafauti.
Kamwe tutapiga kelele tunasema mengi lakini hatuwezi kuheshimika pasipo kupiga hatua kimaendeleo. We fikiria hata kwenye ukoo, wale wenye pesa wanasikilizwa kuliko kapuku.Utakumbuka hivi Majuzi Rais wa Tunisia Mh. Kais Saed alisema nchi yake inavamiwa na Waafrika ambao wanataka kubadili demography ya nchi yake. Sasa Mzee Mmoja akihojiwa nchini humo ameeleza kuwa Waafrica hawana dhamani kama wao Watunisia na wao wamekuwa wakiwauza tu kama bidhaa.
Siku za karibuni pia umoja wa wanafunzi wa Kiafrika wanaosoma Tunisia wametoa tamko la kutotoka nje ili kuepuka kushambuliwa na Watunisia mitaani.
View attachment 2536938
View attachment 2536939
View attachment 2536940
Mkuu mzizi wa tatizo letu sisi watu weusi ni kukosa akili kulinganisha na hao watu weupe [ wachina, wazungu, wakorea, waarabu n.k ]Kamwe tutapiga kelele tunasema mengi lakini hatuwezi kuheshimika pasipo kupiga hatua kimaendeleo. We fikiria hata kwenye ukoo, wale wenye pesa wanasikilizwa kuliko kapuku.
Hakuna kitakachobadilika kama hatutabadilika afrika viongozi wakaacha wizi, tukawa na roadmap ya kujenga nchi zetu