Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayeumia sio mkulima wala mfanyabiashara bali mlaji wa mwisho.Majungu yameanza.
Wakati mnaficha mpunga kwenye magodauni yenu ili Bei ipande na mtuuzie kwa Bei ya juu sisi tulinyamaza kimya.
Sasa kaeni kimya ili na sisi tufaidi matunda ya Nchi.
Adui wa Mtanzania ni Mtanzania.
Ukiumia sisi ndo furaha yetuAnayeumia sio mkulima wala mfanyabiashara bali mlaji wa mwisho.
Mbona unatengenezwa kienyeji hivyo mkuu. Ni kweli mie wa hapa hapa, bora kubakia na tamaduni zetu.Hii clip imezagaa sana ila tatizo ni kutembea wakuu
Watu hawajawahi kuona puffed rice lakini ni chakula maarufu sana India
Naona kila mtu anauliza ni nini bali ni mchele unaowekwa kwenye mchanga wa moto sana na unakuwa kama unavyotengeneza bisi au popcorn
Hata wachina wanatengeneza pia
Ni vizuri kujifunza tamaduni za wenzetu au kusafiri pia
Mimi niliona India hizo
Na unaweza kuona pia hapa
Ila haihusiani na wali tunaokula kwani hizo ni bisi tu
View attachment 2521973
Asante acheni majunguKila la heri kwako Dr
Kama unauzwa buku jero kwa kilo uleteni tule...nani anunue mchele aftatu mia nane
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sawa Mkuu we wataabishe watoto wako Ugali Ahsubui mchana na jioni.Aisee mbona unaniattack kama vile mimi ndio nimeuficha. Mimi nitaendelea kula ugali.
Ila mchele kitumbo ulikuwa noma, unapika robo unaivisha nusuAsante acheni majungu
15 yrs back tulikuwa tunakula Kitumbo na Tailand there's nothing happened
Mmeficha mchele then hamtaki tule wa kutoka nje?
😀😀 Ndo Mimi nahiitaji uo aah sasa naona hawataki tule yaani Mimi SIPENDI ugali Kabisa Bora nile kitumbo.Ila mchele kitumbo ulikuwa noma, unapika robo unaivisha nusu