Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
View attachment 2521958
Sijui hiki kiwanda kiko nchi gani.
Sasa si mchele uliokaangwa tu...au kuna kingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2521958
Sijui hiki kiwanda kiko nchi gani.
Kitumbo ukifika Naomba uwachukulie watoto wako kg kazaa Ugali kila siku utawakomazaInatosha hiyo mkuu
Wahindi wanapenda sana kutengeneza kama walivyokuwa wanafanya babu zao miaka yoteMbona unatengenezwa kienyeji hivyo mkuu. Ni kweli mie wa hapa hapa, bora kubakia na tamaduni zetu.
Anahitaji kujua hicho kiwanda kiko nchi gani?Sasa si mchele uliokaangwa tu...au kuna kingine?