Tyrex
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,373
- 5,100
Huyu mtoto choko wadau mwanaume wa kweli hawezi kuongea hivo Kama dem anayejisifia na madanga never, mm Gari Ninalo Ila sometimes napanda daladala fresh tu hasa nikiwa nazuka kkoo hua Naona shida parking na kuepuka kuchubuana lakini uyo chokoo aache ujinga