YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Nimekumiss nuri upo 😀😀Nyooo wewe gari unalo??! Mxiiii😏nunua lako, nyie ndo mnakuja kumsumbua Mwamposa hamuolewi kumbe tabia zenu wenyewe malaya wadangaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumiss nuri upo 😀😀Nyooo wewe gari unalo??! Mxiiii😏nunua lako, nyie ndo mnakuja kumsumbua Mwamposa hamuolewi kumbe tabia zenu wenyewe malaya wadangaji.
Humu hamna soko la wadangaji nenda telegram na insta, pole 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umewajibu vizuri hao vizabi zabina..... Limewashuka hasa......
Tako la kudownload la chrissy chriss,Ana tako hilo hapo kwenye Avatar
Una uzoefu ndo unakodangia shosti? Unajiungaje? Nakuona hata unavyojichekesha chekesha.... Ingekuwa umezaliwa mwanaume ngesema wewe ni shoga. Wanaume huwa hawacheki cheki hovyo....Humu hamna soko la wadangaji nenda telegram na insta, pole 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
NipoNimekumiss nuri upo 😀😀
Kama unavyodanga? Mwanamke huna hata vigezo vya mwanaume unayemtaka.... Au ndo kutaka uwakamate wote? Ukizabina zabina huo....
Bwana weee mbona kupaniki? Nimesema labda..ila umetokwa na povu si la nchi hii..mimi kwangu gari sio kigezo labda kama unataka show off..Kama unavyodanga? Mwanamke huna hata vigezo vya mwanaume unayemtaka.... Au ndo kutaka uwakamate wote? Ukizabina zabina huo....
Tumekuja kupokea taarifaDj waleteee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2222][emoji2222]
Pole 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yako,Una uzoefu ndo unakodangia shosti? Unajiungaje? Nakuona hata unavyojichekesha chekesha.... Ingekuwa umezaliwa mwanaume ngesema wewe ni shoga. Wanaume huwa hawacheki cheki hovyo....
Pole [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yako,
Njoo na gia nyingine hawajiuzagi hivyo huku,
Hamna mwanaume mjinga wa kumpunyua kizembe hivyo jf tushawazoea sana, alikuwepo mwenzako figo saivi kapoa kama maji ya kisimani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Najua upo period chukua time urelax ukitoka useme [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mi sina!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Anataka lako
🙄🙄🙄🙄🙄 Whattttttt? Acha utani wako shemeji bana, 🤣🤣😅😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119] mimi nataka kukupunyua sasa unasemaje?!!
Haya basi kachukue gari na mshua wako twende nalo huko dinner. [emoji23][emoji23][emoji23]Upo sahihi shoga angu, kwenda dinner kwa daladala hapana hainogiiiiiiiiiii,
Wanaume tafuteni helaaaaaa
Mbona wapo wengi, kama unataka ushahidi njoo nikupeleke kwa dogo anadate na mtoto wa naibu waziri. Binti anakapenda kajamaa halafu kajamaa hakamletei njaa binti.Unazungumzia watoto wa kishua wa wapi wanaopandishwa daladala acha kutupanga hapa,
Tafuta helaaaaaaaaa
Na wewe uwe na kibunda kidogo sasa sio utake mambo makubwa halafu 100% alipie mtoto wa mama mkwe huo ni unyonyaji eboooo [emoji23][emoji23][emoji23] gaddemushiti.Mwanaume unataka kulelewa [emoji1787]
Kaza msuli, simama kiume, waleti itune
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] Whattttttt? Acha utani wako shemeji bana, [emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]