AiseeAcha tu, yaani hata jirani yako akiwa anamiliki mbuzi, huyo mbuzi hawazi kukuheshimu kamwe. ukiweka maji ya kuoga ukaenda ndani kuchukua sabuni, ukitoka unakuta kashatumbukiza domo lake, wakati kwao boss wake hata akicha njee soda asubuhi hadi jioni hagusi.