VIDEO: Unapokuwa hauna pesa kila kitu kinacho kuzunguka kinakuwa hakikuheshimu

Acha tu, yaani hata jirani yako akiwa anamiliki mbuzi, huyo mbuzi hawazi kukuheshimu kamwe. ukiweka maji ya kuoga ukaenda ndani kuchukua sabuni, ukitoka unakuta kashatumbukiza domo lake, wakati kwao boss wake hata akicha njee soda asubuhi hadi jioni hagusi.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…