Video: Usiku wa kisengeli wa Wema Escape One ni Aibu

Sawa sister ingia kambini kuanza kujifua ukiweza kukata kiuno kama mrembo huyu au zaidi naomba nije kukuona ukifanya vitu vyako.
Hahahaaaaaa........ndiyo project iliyo mbele yangu kwa sasa.....ngoja ni fuzu.
 
Reactions: BAK
Wanatikisia ndani tena mida watoto wamelala mnataka serikali ifanye nini wakati wamefuata sheria???
 
Wewe mleta hoja umeshawahi kwenda club za usiku,unafahamu nini huwa kinafanyika humo.nyie wanaume wa mikoani mna matatizo sana.Tena nahisi hapa dar huna hata krismasi tatu
 
aiseee raha mno...cheki mademu kibao utadhani kitchen party

aisee hakuna picha zaidi tafadhali?!
 
Labda 65 za zimbabwe.

7500 ni watu? Teh Teh...
 
Ila ukweli usemwe la Wema linamwagika kama sijui nini, tofauti na wanawake hao wengine...mchina balaaa linamajanga yake. Napita mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…