Video: Usiku wa kisengeli wa Wema Escape One ni Aibu

Video: Usiku wa kisengeli wa Wema Escape One ni Aibu

Sawa sister ingia kambini kuanza kujifua ukiweza kukata kiuno kama mrembo huyu au zaidi naomba nije kukuona ukifanya vitu vyako.
Hahahaaaaaa........ndiyo project iliyo mbele yangu kwa sasa.....ngoja ni fuzu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wanatikisia ndani tena mida watoto wamelala mnataka serikali ifanye nini wakati wamefuata sheria???
 
Wewe mleta hoja umeshawahi kwenda club za usiku,unafahamu nini huwa kinafanyika humo.nyie wanaume wa mikoani mna matatizo sana.Tena nahisi hapa dar huna hata krismasi tatu
 
aiseee raha mno...cheki mademu kibao utadhani kitchen party

aisee hakuna picha zaidi tafadhali?!
 
We mwenzio kapiga pesa. Hachagui kazi. 10,000×7500. We bado unazungumzia premia ligi. Kampa msaga sumu 2m na Snura 2.5m muna love 2m. Wengine 5 1m. 5m. Ukumbi tarumbeta matangazo na vingine 10m. 65.5m yiko mfukoni kwa siku moja akizunguka mikoa yote pata picha . Mjini msingi kiuno
Million 65 bado unabisha
Labda 65 za zimbabwe.

7500 ni watu? Teh Teh...
 
Ila ukweli usemwe la Wema linamwagika kama sijui nini, tofauti na wanawake hao wengine...mchina balaaa linamajanga yake. Napita mie
 
Back
Top Bottom