Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaaa........ndiyo project iliyo mbele yangu kwa sasa.....ngoja ni fuzu.
Sio maji maji kweli [emoji38][emoji38][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]vyupi vyenyewe vinaonekana vimefubaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana........Kila la heri na Baraka.🙂🙂🙂
yaani kila anachofanya wema kibaya ktk hii dunia loooh!!!Jamani mbona club usiku vinafanyika vitu zaidi ya hiyo hamsemi au kwasababu ni Tanzanian sweetheart .
muulize kwanza!!!Una tatizo na Wema?
Labda 65 za zimbabwe.We mwenzio kapiga pesa. Hachagui kazi. 10,000×7500. We bado unazungumzia premia ligi. Kampa msaga sumu 2m na Snura 2.5m muna love 2m. Wengine 5 1m. 5m. Ukumbi tarumbeta matangazo na vingine 10m. 65.5m yiko mfukoni kwa siku moja akizunguka mikoa yote pata picha . Mjini msingi kiuno
Million 65 bado unabisha
wakubwa wanafaidiiiMadame Wema Sepetu.
Huyu mdananda nae alikuepo..mjini hakuna babu
Kule bongo move Madame Wema Sepetu ni Shakespeare.Nazidi kuamini kuwa Watanzania wana asili ya Unafiki.
Nyinyi hamtaki sisi tunataka na tutalipia kwa gharama yoyote ile