Video: Ustadhi wa madrasa adaiwa kumbaka na kumpa ujauzito binti wa miaka 16

Video: Ustadhi wa madrasa adaiwa kumbaka na kumpa ujauzito binti wa miaka 16

Kwa sheria huyo ni kuuliwa maana ni mzinifu...Pia kesi za wanafunzi kupewa mimba ni nyingi sana...Hiyo habari nimeona the chanzo leo..

Hizi kesi ni nyingi sana unaweza kuangalia takwimu xa wanafunzi wanaopewa mimba ,sasa hata viongozi kama hao wanafanya ujinga ,walimu wa dini hata wa shule za kawaida .

Sio ya kwanza zipo za walimu wa dini zote.
 
_20240126_154930.JPG
 
Hili tukio limetokea huko Zanzibar, ambapo Ustadhi wa Madrasa anatuhumiwa kumbaka Binti mwenye umri wa miaka 16 na kumpa ujauzito.

View attachment 2883332

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
📹 The Chanzo
Akina FaizaFoxy kamwe huwezi kuwaona kwenye mada kama hizi. Ila kichwa cha habari kingekuwa kinamhusu Padre wa Kanisa Katoliki sasa ndiyo ungewaona wakitamalaki.
 
Kwa sheria huyo ni kuuliwa maana ni mzinifu...Pia kesi za wanafunzi kupewa mimba ni nyingi sana...Hiyo habari nimeona the chanzo leo..

Hizi kesi ni nyingi sana unaweza kuangalia takwimu wa wanafunzi wanapewa mimba ,sasa hata viongozi kama hao wanafanya ujinga ,walimu wa dini hata wa shule za kawaida .

Sio ya kwanza zipo za walimu wa dini zote.
Ulitaka kusemaje labda, mbona haueleweki unatapatapa tu, bado hujaongea hapo.
 
Back
Top Bottom