Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Tusiwaamini watu kwa mwamvuli wa dini.Hili tukio limetokea huko Zanzibar, ambapo Ustadhi wa Madrasa anatuhumiwa kumbaka Binti mwenye umri wa miaka 16 na kumpa ujauzito.
View attachment 2883332
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1
📹 The Chanzo
Watu ni watu tu.
Na asili yetu ni wanyama.
Dini, sheria ni mambo tulijitungia wenyewe katika kutaka kushape/kutengeneza ustaarabu tu.
Kidogo tumefanikiwa ukilinganisha na zamani, lakini asili haipotei.
Mwalimu huyu alikuwa katika asili yake.
Hivyo bhasi, tusilichukulie jambo hili kama mtaji wa kuchafua uislamu wote.
Ila liwe ni fundisho kwamba asili yetu ni nini/ipi.
Nasema hvyo kwasababu mwalimu huyu wa madrasa angeweza kuzaliwa kwenye familia ya kikristo na akafanya mambo haya,
Angeweza kuzaliwa katika familia ya dini nyingine yeyote na bado akafanya mambo kama hayo,
Angeweza kuwa atheist pia na akafanya jambo kama hilo.
Utofauti tu ni kwamba yeye (mnyama/mtu) huyu kafanya jambo hilo kwa urahisi kulingana na nafasi aliyokuwa nayo tu.
Tusiziamini sana dini.
Wati ni watu tu.
#Imani ni shambulio la akili.