Video: Ustadhi wa madrasa adaiwa kumbaka na kumpa ujauzito binti wa miaka 16

Video: Ustadhi wa madrasa adaiwa kumbaka na kumpa ujauzito binti wa miaka 16

Hili tukio limetokea huko Zanzibar, ambapo Ustadhi wa Madrasa anatuhumiwa kumbaka Binti mwenye umri wa miaka 16 na kumpa ujauzito.

View attachment 2883332

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
📹 The Chanzo
Dogo ana miaka 16 pili alifanyiwa mara ya kwanza mara ya pili na mara kwa mara.... Alafu hakusema mpaka anapewa mimba dogo na yeye alinogewa, sema ustadhi kazingua..
 
KUSALI KWA RATIBA SIO UTAKATIFU.
NI HUKO HUKOI SIKU ZA MFUNGO KULA NI KOSA.
NI HUKO HUKO KUNA UCHAFU MWINGI SANA SIRINI.
 
Back
Top Bottom