Video: Ustadhi wa madrasa adaiwa kumbaka na kumpa ujauzito binti wa miaka 16

Kwa sheria huyo ni kuuliwa maana ni mzinifu...Pia kesi za wanafunzi kupewa mimba ni nyingi sana...Hiyo habari nimeona the chanzo leo..


Hizi kesi ni nyingi sana unaweza kuangalia takwimu xa wanafunzi wanaopewa mimba ,sasa hata viongozi kama hao wanafanya ujinga ,walimu wa dini hata wa shule za kawaida .

Sio ya kwanza zipo za walimu wa dini zote.
 
Hili tukio limetokea huko Zanzibar, ambapo Ustadhi wa Madrasa anatuhumiwa kumbaka Binti mwenye umri wa miaka 16 na kumpa ujauzito.

View attachment 2883332

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
πŸ“Ή The Chanzo
Akina FaizaFoxy kamwe huwezi kuwaona kwenye mada kama hizi. Ila kichwa cha habari kingekuwa kinamhusu Padre wa Kanisa Katoliki sasa ndiyo ungewaona wakitamalaki.
 
Ulitaka kusemaje labda, mbona haueleweki unatapatapa tu, bado hujaongea hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…