version001
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 841
- 2,004
Kwa hiyo umeanza kuweka pesa ulipokuwa na umri wa mwezi 1?Kwani Unajua Utaishi Mpaka Lini?
Lets say nataka Kuishi Miaka kama Ya wasira..
80 au Hata Tisini Mbele..
5,000,000 X 12 x90 = Bilion 5.4
Wapi nimeandika neno chombo?acha kuzuga mjinga wewe.kwani kuhusu kuhojiwa huyo bilionea si ilisema unataka uone akihojiwa na chombo zaidi yakimoja?
sasa hivi unajifanya siasa nyingi kumbe emty set
chanzo cha habari na chombo cha habari tofauti yake kwenye habari ni nini? ewe mjuajiWapi nimeandika neno chombo?
Tatizo wewe hujui tofauti ya chombo zaidi ya kimoja na source zaidi ya moja.
Ndiyo maana hatuelewani.
Tuna uelewa tofauti sana na ndiyo maana hatuwezi kuelewana.
Wewe kumbe Mwehu. Ndo mana kila siku huwa nasema Ndugu Melo aweke hata Quick test kupima IQ za watu humu kabla ya kujoin.. Wewe ni mwendawazimu..Mkuu kuandika kiingereza complicated cha darasani doesn't mean kwamba you're right, it just shows kwamba una ka-ushamba fulani na lugha ya kiingereza.
Inashangaza sana kumuona myu anayetaka ushahidi kila mara kuhusu mada za imani, leo anafanya 360 kwa kitu chepesi kama hiki.
Kwa hiyo mada ikiripotiwa na chanzo kimoja ndo inakosa credibility? Hiyo tip ya fact checking nani alikupa?
Kwa hiyo ITV, Clouds na TBC wangechukua the same news piece wakaipost kwao, ndo inakuwa credible?
Mbona ulikuwaga very logical mkuu, au umeingia UVCCM?
Chombo cha habari ni kile kinachoripoti habari.chanzo cha habari na chombo cha habari tofauti yake kwenye habari ni nini? ewe mjuaji
Huyo mjamaa hana sura hata ya umilionea. Yaani ulugaluga wake unaoneka wazi..hana nuru ya ubilionea. Nahisi utajiri wake ni ule wa masharti
kwahio wewe unabisha kua huyo jamaa sio bilionea kisa karipotiwa na chanzo kimoja?Chombo cha habari ni kile kinachoripoti habari.
Azam, ITV, BBC, CNN ni vyombo vya habari.
Vyanzo vya habari ni kule habari ilipotokea, source, Bwana X, Bwana Y.
Habari inaweza kuwa na chanzo kimoja, Mr. X, ikaripotiwa na vyombo kadhaa vya habari, ITV na Azam. Hiyo habari bado ina low credibility kwa sababu ina chanzo kimoja, licha ya kuripotiwa na vyombo kadhaa.
Pia, habari inaweza kuwa imeripotiwa na chombo kimoja tu Azam, lakini ina vyanzo kadhaa, Mr, A, Mr B, Ms X, Ms Y, ambao hawahusiani, hiyo habari imeripotiwa na chombo kimoja lakini ina high credibility kwa sababu ina vyanzo vingi tofauti.
Umeelewa tofauti ya chanzo cha habari na chombo cha habari sasa?
First things first.
Inferiority complex yako kuhusu Kiingereza ni tatizo lako, si langu.
Hicho si Kiingereza complicated, ni cha kawaida, ukikiona complicated wewe ndiye mwenye tatizo Kiingereza cha kawaida unakiita complicated. Hilo ni tatizo lako, si langu.
Habari ya mtu, iliyotolewa na huyo mtu mwenyewe, bila kuwa na chanzo cha pili tofauti kinachoitoa hivyo hivyo, ni habari yenye low credibility.
Walioenda shule za uandishi wa habari wanaelewa hili jambo kuwa ni la wazi na msingi kabisa.
Waliojielimisha wenyewe kuhusu haya mambo wanaelewa hilo pia.
Tatizo wewe hujasoma haya mambo kwenye elimu rasmi wala hujajielimisha mwenyewe.
Na kila unavyopinga jambo la msingi kama hili, unazidi kuonesha utupu wako.
Kwamba wewe si mjinga tu, wewe ni mjinga mbishi.
Unaruhusiwa juwa mjinga, utaelinushwa. Unaruhusiwa juwa mbishi, labda utael8nisha watu.
Lakini.
Ukiwa mjinga, usiwe mbishi.
Wewe ni mwehu hivi ulienda shule wewe kweli? Hiyo pesa baba yako angenunua bunda walau ana msaada kufanya usafirishaji. Mbwa wee!chanzo cha habari na chombo cha habari tofauti yake kwenye habari ni nini? ewe mjuaji
Sisi ndo wabongo bana.Ndo maana nikasema watu mnaamini stori za kina Zuckerberg na Steve Jobs ila Watanzania wenzenu wakitaja story zenu mnasema waongo.
Ulitaka avae masuti ndo ujue ana hela?
wewe mataoq kafirrrwi huko qqmmmkWewe ni mwehu hivi ulienda shule wewe kweli? Hiyo pesa baba yako angenunua bunda walau ana msaada kufanya usafirishaji. Mbwa wee!
Wabongo hamuwezi kuongea kwa hoja dhahania, uwezo wenu wa abstract thinking ni mdogo sana.
Mimi simjui huyo jamaa. Wala simuongelei yeye.
Naongelea a general rule of news verificayion ambayo wewe sitaki shule unapaswa kujifunza.
Katika dunia ya leo ya fake news na kulishana matango pori sana, habari ya kutika chanzo kimoja, ya kuhusu hicho chanzo, ina low credibility.
Habari hiyo inatakiwa kuhakikiwa kwa kutolewa kwenye chanzo kingine.
Hii ni general rule, waandishi wa habari wanaielewa, wala si wivu kwa mtu fulani.
Sasa mimi nikisema habari ina low credibility kwa kuwa inetolewa na chanzo kimoja, tena mtu mwenyewe, unafikiaje hitimisho kuwa ni wivu?
Umeshindwa kujadili hoja za jifalsafa unakimbikia habari ya wivu kama mipasho ya taarabu?
Hapana,hujaelewa hoja na pengine huna uwezo wa kuelewa hoja.kwahio wewe unabisha kua huyo jamaa sio bilionea kisa karipotiwa na chanzo kimoja?