aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 341
- 714
sasa unataka nani akamhoji kwaajili yako siuende mwenyewe?Sitaki kuamini, nataka habari yenye multiple sources ili iweze kuhakikika zaidi.
Habari ya mtu kutoka kwa mtu mmoja tu, tena yeye mwenyewe, unaweza kuambiwa lolote, haina a high degree of credibility.
Kwa nini somo hili rahisi linakuwa gumu sana kwa Watanzania wengi?
nahata usipo amini kwani unampunguzia ubilionea wake?